Hii inakuja Tanzania

boda bodana mabajaji si waliiga kutoka india so sitashangaa wala kushtuka.
 





​

Sasa na hii ikija bongo sijui na Trafiki watasema ni Mishakaki au vipi?


​
 
Hiyo mishkaki huku kwetu itapita njia gani sijui, lakini ingesaidia sana kuliko mateso dharua kiburi tunachofanyiwa na washenzi wa daladala! kwa kweli nimewachoka wa tu wa daladala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…