Hii Inakuhusu Wewe Mwana Jamii Forums,..

Umekumbusha jambo la msingi sana.

Na pia baada ya kumaliza kazi zako bofya hapo juu "tools" kisha ingia kwenye clear recent history...
kisha pangusa kila kitu, atakaekuja kutumia mashine yako hata akizama kwenye history anakuta chenga
 
Sawa kabisa, mambo hayo ni muhimu kuzingatia wakati unatumia device ambayo siyo ya kwako, ila kama device ni ya kwako wala hakuna tabu ila pia ni muhimu kama kuna mtu anaitumia tofauti na wewe!!
 
Sawa kabisa, mambo hayo ni muhimu kuzingatia wakati unatumia device ambayo siyo ya kwako, ila kama device ni ya kwako wala hakuna tabu ila pia ni muhimu kama kuna mtu anaitumia tofauti na wewe!!
Haswaaa mkuu, na hata kama kwa wale wasiopenda usumbufu baada ya kumaliza shughuli zao wanaweza wakaRestart mashine zao au wakaShutdown/Turn off, inakuwa njia ya mkato zaidi kuepukana na usahaulifu na kuepuka ajali mfano wa mada uliyoileta
 
Duh, aisee hii noma sana mkuu!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…