mkuu umenena vema sana,lkn tatizo ni kwamba hakuna dhambi ndogo wala kubwa,dhambi zote ni sawa,muuaji na mwongo wote sawa,hali kadhalika uzinzi and the rest,kwaio na wewe hakikisha hauangukii popote ili siku ya mwisho usihukumiwe...
Mkuu huu ujumbe upo 100% lakini hawa dada zetu wana libwata la kuwafata.[emoji6] [emoji14] miendo yao wanavyotembea na huyo bata anavyotikishwa hatareee.[emoji39] [emoji39]