manumbu1 JF-Expert Member Joined Jul 4, 2012 Posts 715 Reaction score 407 Jul 11, 2014 #2 Ama kweli nime changanyikiwa
R ridculouz JF-Expert Member Joined Mar 7, 2014 Posts 910 Reaction score 504 Jul 11, 2014 #3 mhhhh kazi ipo jamani mods hebu rekebisheni hiyo kitu
GAZETI JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 5,292 Reaction score 6,773 Jul 11, 2014 #4 ridculouz said: mhhhh kazi ipo jamani mods hebu rekebisheni hiyo kitu Click to expand... Hapana mkuu, Jamaa katuonesha jinsi gazeti lilivyochanganya habari na picha.
ridculouz said: mhhhh kazi ipo jamani mods hebu rekebisheni hiyo kitu Click to expand... Hapana mkuu, Jamaa katuonesha jinsi gazeti lilivyochanganya habari na picha.
R ridculouz JF-Expert Member Joined Mar 7, 2014 Posts 910 Reaction score 504 Jul 11, 2014 #5 GAZETI said: Hapana mkuu, Jamaa katuonesha jinsi gazeti lilivyochanganya habari na picha. Click to expand... hahahahaha majanga
GAZETI said: Hapana mkuu, Jamaa katuonesha jinsi gazeti lilivyochanganya habari na picha. Click to expand... hahahahaha majanga
g click JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 2,427 Reaction score 511 Jul 11, 2014 #6 umakini unahitajika hahahahaah
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Jul 11, 2014 #7 Heading inatakiwa ieleweke
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,662 Jul 11, 2014 #8 Mtu wa editing alikuwa off duty. .
Kaitampunu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,465 Reaction score 1,389 Jul 12, 2014 #9 GAZETI said: Hapana mkuu, Jamaa katuonesha jinsi gazeti lilivyochanganya habari na picha. Click to expand... Harafu wakiitwa makanjanja wanataka kurusha ngumi!
GAZETI said: Hapana mkuu, Jamaa katuonesha jinsi gazeti lilivyochanganya habari na picha. Click to expand... Harafu wakiitwa makanjanja wanataka kurusha ngumi!
Shomari JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 1,112 Reaction score 242 Jul 12, 2014 #10 Gazeti gani hilo?