Hii inaitwa "Baab Kubwa"

watu wengine miili yao sijui ibatizwe main a gain aiseee
 
hapo pikipiki ikipinduka kwa bahati mbaya ni shughuli kwa mtoto
 
Hilo sio Baab Kubwa, ni Baobab kubwa.:cool2: picha ya Mshana Jr.
 
watu wengine miili yao sijui ibatizwe main a gain aiseee

Ibatizwe kwa jina la ZIGO LA MWIZI, maana huwa lipo lipo kutokana na kukusanya vitu haraka haraka kiasi kwamba huwezi fahamu ni umbo gani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…