jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,781
Jamani kinadada hakuna kitu kinaniboa kama hizi lipshine na lipstiky yaan mkishazipaka baada ya muda kidogo huwa kuna utando mweupe ka maziwa mgando hutokea kwenye lips hasa asipoongea kwa muda yaani huwa nasikia kinyaaa na kutapika.khaaaaa yaan inaboa. kwan urembo haukamiliki bila kupaka hizo lipshine.
sipendi,nasema tena sipendi mnakera sana.
sipendi,nasema tena sipendi mnakera sana.