hii ina ukweli?

Ndio ni qeli!
Shida yako ni nini?

Bazazi!
 
Inawezekana sana na ukimkuta Dada wa namna hiyo, LIPSTICK kwa sana ila home yupo smart sana, Kaka nao ndiyo basi tena nadhani ndiyo maana wanapenda kuoa ili kukwepa kufua nguo. Dada na gari lake atatoa visingizio kibao kuwa ametoka harusini na hajapata nafasi ya kupanga vitu vyake, ukiangalia ni vitu vya ajabu ajabu tena makopo ya RedBull tena yaliyotumika, sox chafu nanihi chafu chafu ahkh!!! jamani ee!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…