Hii ina Maana Gani kwetu?

Hii ina Maana Gani kwetu?

Samir7900000

Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
52
Reaction score
26
Vyuo vingi vimepewa sisi bhado, ndo imekula kwetu ama?...

Pof. Ndalichako Abaini Wanafunzi Hewa Zaidi ya 1000 Vyuo Vikuu
MUUNGWANA BLOG / 3 hours ago

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako amesitisha malipo ya posho za kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini ambao wanaofanya mafunzo kwa vitendo (practical training) ‘field’ baada ya kubaini kuwepo na wanafunzi hewa zaidi ya 1000 vyuoni.

Prof. Ndalichako amesema wizara yake imezuia posho hizo kwa muda wa wiki mbili wakati wizara hiyo ikiwa inafanya uhakiki ili kuwabaini wanafunzi hewa zaidi pamoja na wahusika kuwachukulia hatua za kisheria.

Aidha Prof. Ndalichako amewaagiza wakuu wote wa vyuo kuwasilisha taarifa za wanafunzi wao wizarani ili zoezi la kukagua na kubaini uahalali wa wanafunzi hao kuwepo vyuoni na wale watakaoonekana kuwa wana sifa watapatiwa posho zao za kujikimu mapema na kuendelea na masomo.
 
Maana yake ni kwamba SERIKALI IMESITISHA MALIPO ILI KUHAKIKI WANAFUNZI HEWA,just simple like that Mkuu.
 
Kuna ukuda unaendelea serikalini and there is no one to give us a clear picture of what the hell is going on..

Ajira msitishe, mishahara hampandishi kisa watumishi hewa

Na ndugu zetu mnawazuilia pesa za kujikimu kisa wanafunzi hewa
 
Shangilia si mnamshangilia!
 
Maana yake ni kwamba SERIKALI IMESITISHA MALIPO ILI KUHAKIKI WANAFUNZI HEWA,just simple like that Mkuu.
Kwa MTU anaye uelewa huu mchezo hautaji kutafuta refa wa kumbeba..no vyuo vikubwa havina hewa vilivokwisha patiwa pesa? Au ni kuwafanya wasipige kelele tena?
 
Back
Top Bottom