Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,520
- 6,517
Wazee wetu walikuwa na wake wengi, wake wa siku hizi hawataki kusikia mitala. Hivyo by that time uzazi wa mpango uliwezekana kwa mme.kuwa na wake wengihivi madhara ya hayo madude wanayajua? moja ninalojua mimi yanachangia sana uvimbe tumboni kwa akina mama, hivi kati ya wanawake 10 huwezi kosa wawili watatu wanauvimbe, mbona wazee wetu zamani hawakutumia hivyo vitu na wakazaa kwa mpangilio? binafsi sikubaliani na mpango wa uzazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi madhara ya hayo madude wanayajua? moja ninalojua mimi yanachangia sana uvimbe tumboni kwa akina mama, hivi kati ya wanawake 10 huwezi kosa wawili watatu wanauvimbe, mbona wazee wetu zamani hawakutumia hivyo vitu na wakazaa kwa mpangilio? binafsi sikubaliani na mpango wa uzazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata K zao Wanawake wanaotumiaga uzazi wa mpango huwa ni za baridi sana, hayo madawa hupelekea humpunguzia Mwanaume uwezo wa kujamiiana na Mwanamke, naogopa ban lkn kuna kila aina ya uozo uliojificha kupitia huo uzazi wa mpango.Fact
Inasikitisha sana.Pili 100% ya Wanawake wanaotumia uzazi wa mpango huwa wana maji sana ukeni, wanakuwa na uke mkubwa(uliotanuka sana) na huwa hawana hisia zozote kwa waume zao kimahaba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Binasf sioni faida ya kutumia hayo mavidonge mungu akinijalia hata watoto kumi nazaa kwa kweli niliwahi kushuhudia dada yangu aliacha alipata matatizo.Hata K zao Wanawake wanaotumiaga uzazi wa mpango huwa ni za baridi sana, hayo madawa hupelekea humpunguzia Mwanaume uwezo wa kujamiiana na Mwanamke, naogopa ban lkn kuna kila aina ya uozo uliojificha kupitia huo uzazi wa mpango.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo ya kujifanya rafiki yako ndo mwenye mkasa yaishe mwaka huu,, sema ni wewe watu wajue
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Dada.Binasf sioni faida ya kutumia hayo mavidonge mungu akinijalia hata watoto kumi nazaa kwa kweli niliwahi kushuhudia dada yangu aliacha alipata matatizo.
Bichwa water au sioHabari za asubuhi.
Leo nimeamka na hii jamani.
Rafiki yangu ana mke wake. Wao wana mtoto mdogo Kama wa mwaka mmoja hivi. Hapo awali walikuwa wanatumia sindano za uzazi wa mpango,,, lakini kutokana na usalama wa afya ya mama inatakiwa sindano zikishafika 3 ubadilishe njia nyingine ya uzazi.
Sasa jamaa alimzoesha mke wake kwenda nae hospitali kila wanapokwenda kuchoma sindano.
Kwa Sasa jamaa majukumu yamem bana, anashindwa kwenda na MKE wake kubadili uzazi wa mpango.
Sasa Basi
Mke anaogopa (hataki) kwenda mwenyewe, na anamwambia jamaa hapa hupati PENZI (papuchi) mpaka upate muda twende hospitali kuweka kipandikizi.
Maswali kwa wadau
1. Ni sawa mwanamke kumuwekea biti mume wake Kama hivo??
2. Jamaa afanye Nini? Ameniomba ushauri.
Kwakuwa nami kichwa maji nikaona niulete humu kwa wajuzi zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app