Hii imetokea Durban - SA

Inaelekea nyuma ya Kamera kuna mlima.!
 
Yan kama kwenye hiyo nyumba kungekuwa na watu wanafanya matuc, leo ndio ingekuwa hukumu yao. Bahati nzuri hakuna aliyeumia!
 
Mkuu haya matuta tayatakua na springs sio bure, yaani ukija na kasi lazima upae.. Haha

very possible....miaka kadhaa nyuma kuna land rover discovery iliruka ikakaa juu ya mtu pale daraja la mlalakuwa! gari ikiwa kwenye speed ikigonga kizingiti kama zile kingo za barabara ni rahisi sana kuruka juu au ku flip.
















 
very possible....miaka kadhaa nyuma kuna land rover discovery iliruka ikakaa juu ya mtu pale daraja la mlalakuwa! gari ikiwa kwenye speed ikigonga kizingiti kama zile kingo za barabara ni rahisi sana kuruka juu au ku flip.INATISHAAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…