kinachonishangaza mimi ni hapo kwenye red,..dini za wanafunzi zina uhusiano gani??hata ndio mambo ya kuleta udini vyuoni,..inasemekana kuna udini mkubwa udom..Wanataka kuwapumbaza wasomi lakini siyo kuwaibia akili zao na kama wameona hiyo ndiyo njia bora ya kuwadhibiti wapite vyuo vyote wafanye hivyo na kwa wananchi wa kawaida pia
mbona sisi wa bahai na wayahudi tumesahaulika?Sasa nyinyi kiapo si lazima ijulikane anaapishwa na kitabu gani au aapishwe na katiba, hata bungeni inatumika, tunapoapisha mawaziri, mahakimu, mahakamani hutumika hivyo hivyo na hata unapokwenda kutoa statement polisi unaulizwa dini gani. Mbona mnaifanya kuwa issue kuuubwa kama ndio kwanza inaanza kutumika? Mnashangaza sana!
mbona sisi wa bahai na wayahudi tumesahaulika?
Hiki kiapo kinakiuka haki za msingi za mwanafunzi wa chuo kikuu
ningeweza ningekoment makonz humu yampate aloaandaa hiki kiapo cha kuwakandamiza wanachuo!mmmmmaePicha ya MwanafunziHATI YA KIAPO YA MWANAFUNZIMimi, .,Muislamu/Mkristo/Mpagani, nikiwa na akili zangu timamu na bila kushurutishwa, NAAPA NA KUTHIBITISHA kwamba;1. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa .Chuo Kikuu cha Dodoma.2. Namba yangu ya usajili ya Chuoni ni 3. Nathibitisha kwamba mimi nimelipa madeni yote ninayodaiwa na Chuo ikiwa ni pamoja na kulipa gharama ya usajili wa kurudi chuoni baada ya kusimamishwa masomo.4. Naapa kwamba mimi .nitakapokuwa nimesajiliwa upya nitatii sheria za Chuo na kanuni zake,sheria ndogo za wanafunzi na sheria za nchi kwa ujumla. Na kwamba mimi ..nitatumia muda wangu kusoma badala ya kujihusisha au kuhusika kwenye migogoro na siasa chuoni.5. Mimi ..nitatumia uongozi wa Chuo kupata msaada pindi ninapojikuta kwenye mgogoro nisiokubaliana nao.6. Kwa kiapo hiki mimi . naahidi iwapo nitashindwa kuzifuata sheria hizo Chuo kiniondoe masomoni mara moja.7. Natoa kiapo hiki nikitambua Sheria ya Viapo na matamko Sura ya 34 ya Mwaka 1966 [Sura 34 Marejeo 2002]UTHIBITISHO Nathibitisha kwamba, yale yote yaliyosemwa katika aya ya 1, 2, 3, 4, 5, 6, na 7 hapo juu ni kweli tupu kwa kadri ya uelewa wangu. Imesainiwa hapa .., hii leo tarehe ..., Mwezi wa .2011.Saini ya Muapaji .. Jina la Muapaji Kiapo kimetolewa hapa . na ., ambaye ametambulishwaKwangu na ......................Ambaye nimemfahamu binafsi hii leoTarehe Mwezi wa , 2011MBELE YANGUKAMISHNA WA VIAPO
Gomen tena bac.
Ukiwa unasoma chuo kikuu ulishawahi kushika bible au mas-hafu weye??Sasa nyinyi kiapo si lazima ijulikane anaapishwa na kitabu gani au aapishwe na katiba, hata bungeni inatumika, tunapoapisha mawaziri, mahakimu, mahakamani hutumika hivyo hivyo na hata unapokwenda kutoa statement polisi unaulizwa dini gani. Mbona mnaifanya kuwa issue kuuubwa kama ndio kwanza inaanza kutumika? Mnashangaza sana!
Ujaelimika wewe hujui unachoongea kuhusu haki na viapo. Fuatilia hao uliowataja uona viapo vyao vikoje?Sasa nyinyi kiapo si lazima ijulikane anaapishwa na kitabu gani au aapishwe na katiba, hata bungeni inatumika, tunapoapisha mawaziri, mahakimu, mahakamani hutumika hivyo hivyo na hata unapokwenda kutoa statement polisi unaulizwa dini gani. Mbona mnaifanya kuwa issue kuuubwa kama ndio kwanza inaanza kutumika? Mnashangaza sana!
kati watu ambao huwa siwaelewi hapa JF mmoja wapo ni wewe,nadhani utakua bwabwa.Gomen tena bac.