Hii imeniuma sana

Hii imeniuma sana

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,628
Reaction score
4,970
Niliitwa intavyuu ofisi flani, tulikuwa wawili tu tunaofanyiwa intavyuu hiyo. Mimi nilikua wa kwanza nilijibu maswali kwa ufasaha na mwajiri akanikubali. Kwanza kunionyesha itakayokua ofisi yangu.

Baadae akanitembeza kuona sorrounding ya kampuni. Tukaenda mpaka factory na store huku bosi huyo akionesha akanikubali. Akanipeleka yard akanionesha magari mapya akisema haya ni kwa mastaff zangu wapya.

Kimoyoni nikapewa yes mzee mzima nimeshaukata. Tukarudi tena ofisini akaniuliza anilipe sh ngapi nikamtajia Sahara yetu ya dijiti sita tu. Bosi akionesha mshtuko na akaniuliza vipi akiongeza hapo nkamwambia na appreciate zaidi.

Basi tukaagana akanambia ngojea ni mwintavyuu huyu mwingine afu atanijulisha lini nijeanza kazi. Baba nikakaa nasubiria sim hola siku zaenda tu.

Mzee mzima ikabidi niluke hewani kuulizia.

Nikajibiwa you are not selected! Daah imeniuma ase.
 
umeumia nin sasa? coz mwenzako hakuwa na haki ya kupata kazi au coz ulioneshwa mazingira ya ofisi? shda yenu mmezoea interview za utumishi kuwa wengi na mnakosa hta nafasi ya kuona mazingira ya ofisi husika.kubaliana na hali zen kuanzia hpo jifunze kumbe huwa kuna interview za hvo.
 
Pole mkuu, usikate tamaa brother endelea kukaza
 
shukuru kwa kila ambo pengine ungepata hapo ungekuja kuishia gerezani kwa kashfa mungu ana namna ya kukuepusha
 
Mkuu, waza umekosea wapi. Inawezekana huyo mwenzio ka prove kwa boss anaweza zaidi yako, na mwajiri siku zote anahitaji mtu anaeweza. jipange upya na usichoke kuomba.
 
mwenzako alikuwa bora zaidi yako, jaribu bahati kwingne. Pole sana ndo changamoto ya kutafuta kazi
 
Niliitwa intavyuu ofisi
flani. Tulikuwa wawili tu tunaofanyiwa intavyuu hiyo.
Mimi nilikua wa kwanza. Nilijibu maswali kwa ufasaha na mwajiri
akanikubali. Kwanza kunionyesha itakayokua ofisi yangu. Baadae
akanitembeza kuona sorroundin ya kampuni. Tukaenda mpaka factory na
store huku bosi huyo akionesha akanikubali. Akanipeleka yard akanionesha
magari mapyaa akisema haya ni kwa mastaff zangu wapya. Kimoyoni
nikapewa yees mzee mzima nimeshaukata. Tukarudi tena ofisini akaniuliza
anilipe sh ngapi nikamtajia Sahara yetu ya dijiti sita tu. Bosi
akionesha mshtuko na akaniuliza vipi akiongeza hapo nkamwambia na
appreciate zaidi.basi tukaagana akanambia Ngojea nimwintavyuu huyu
mwingine afu atanijulisha lini nijeanza kazi.
Baba nikakaa nasubiria sim hola siku zaenda tu.
Mzee mzima ikabidi niluke hewani kuulizia. Nikajibiwa you are not
selected! Daah imeniuma ase.

ID(matatiz) unayotumia ndo chanzo cha yote
 
Mkuu pole sana umesema ulivyotaja mshahara bosi alistuka labda ulitaja mshahara mdogo sana hakaona haukufanya research kuhusu scale za hiyo kampuni unavyoenda kufanya interview fanya research ya salary scale zao
 
Niliitwa intavyuu ofisi flani. Tulikuwa wawili tu tunaofanyiwa intavyuu hiyo.
Mimi nilikua wa kwanza. Nilijibu maswali kwa ufasaha na mwajiri akanikubali. Kwanza kunionyesha itakayokua ofisi yangu. Baadae akanitembeza kuona sorroundin ya kampuni. Tukaenda mpaka factory na store huku bosi huyo akionesha akanikubali. Akanipeleka yard akanionesha magari mapyaa akisema haya ni kwa mastaff zangu wapya. Kimoyoni nikapewa yees mzee mzima nimeshaukata. Tukarudi tena ofisini akaniuliza anilipe sh ngapi nikamtajia Sahara yetu ya dijiti sita tu. Bosi akionesha mshtuko na akaniuliza vipi akiongeza hapo nkamwambia na appreciate zaidi.basi tukaagana akanambia Ngojea nimwintavyuu huyu mwingine afu atanijulisha lini nijeanza kazi.
Baba nikakaa nasubiria sim hola siku zaenda tu.
Mzee mzima ikabidi niluke hewani kuulizia. Nikajibiwa you are not selected! Daah imeniuma ase.

Badala ya kushangilia kwa kupata interview, una lalamika bora yako!!!Alafu umetembezwa kabisa na kuoneshwa hadi magari ... I cant emagine siku hiyo ulivyokuwa na furaha!
 
Niliitwa intavyuu ofisi flani. Tulikuwa wawili tu tunaofanyiwa intavyuu hiyo.
Mimi nilikua wa kwanza. Nilijibu maswali kwa ufasaha na mwajiri akanikubali. Kwanza kunionyesha itakayokua ofisi yangu. Baadae akanitembeza kuona sorroundin ya kampuni. Tukaenda mpaka factory na store huku bosi huyo akionesha akanikubali. Akanipeleka yard akanionesha magari mapyaa akisema haya ni kwa mastaff zangu wapya. Kimoyoni nikapewa yees mzee mzima nimeshaukata. Tukarudi tena ofisini akaniuliza anilipe sh ngapi nikamtajia Sahara yetu ya dijiti sita tu. Bosi akionesha mshtuko na akaniuliza vipi akiongeza hapo nkamwambia na appreciate zaidi.basi tukaagana akanambia Ngojea nimwintavyuu huyu mwingine afu atanijulisha lini nijeanza kazi.
Baba nikakaa nasubiria sim hola siku zaenda tu.
Mzee mzima ikabidi niluke hewani kuulizia. Nikajibiwa you are not selected! Daah imeniuma ase.

pole sana mkuu
 
Pole sana, ukiona hv jua mwenzio ndio alikua bora zaidi yako kama ulionyeshwa mzingirz ya offis bas mwenzio ilikua zaidi ya hapo laa angekwwambia anza kazi leo bila ya subiri nitakujulisha siku ya kuanza kazi. Jipange , mshukuru Mungu then songa mbele utafanikiwa.
 
avatar101098_1.gif

Usikate tamaa...
 
Mie sikupi pole kabisaa .
Wewe ni mtu wa Tamaa sana na hali hii utakaa juani hadi dunia ianuke.
Yaani wewe kuona Gari za Staff eti unasema umeishaukata,hapa ndio watanzania wengi tunapoishia.
Badala ya kuangalia taratibu za kazi na uzalishaji wako we unawazia anasa tu.Ili upate gari mtaani wakujue.
Halafu mshahara mkubwa ndio pia umekuponza.
Labda nikuambie pamoja na wadau wengine.
Siku hizi Interview za kukaa mezani zimepitwa na wakati,yani sehem nyingi unaitwa mezani halafu unaweza kushangaa unapelekwa hata sokoni huku ukiwa na bosi katika manunuzi ya vitu vya nyuumbani,wakati huo bosi alikuomba umshindikize tu,kumbe pale sokoni ndio interview yenyewe.Hii nimeiona kwenye Kampuni moja.
Sasa inaonekana jamaa ni mwana saikolojia mzuri sana,alikupima hadi nje ya chumba cha interview ndio akaona sie.
Mwenzio alijipanga ndio maana akakupiga bao.Usimtafute mchawi
 
God's time is the best! Utapata Kazi unayoitamani wakati ukifika mkuu.
 
Niliitwa intavyuu ofisi flani. Tulikuwa wawili tu tunaofanyiwa intavyuu hiyo.
Mimi nilikua wa kwanza. Nilijibu maswali kwa ufasaha na mwajiri akanikubali. Kwanza kunionyesha itakayokua ofisi yangu. Baadae akanitembeza kuona sorroundin ya kampuni. Tukaenda mpaka factory na store huku bosi huyo akionesha akanikubali. Akanipeleka yard akanionesha magari mapyaa akisema haya ni kwa mastaff zangu wapya. Kimoyoni nikapewa yees mzee mzima nimeshaukata. Tukarudi tena ofisini akaniuliza anilipe sh ngapi nikamtajia Sahara yetu ya dijiti sita tu. Bosi akionesha mshtuko na akaniuliza vipi akiongeza hapo nkamwambia na appreciate zaidi.basi tukaagana akanambia Ngojea nimwintavyuu huyu mwingine afu atanijulisha lini nijeanza kazi.
Baba nikakaa nasubiria sim hola siku zaenda tu.
Mzee mzima ikabidi niluke hewani kuulizia. Nikajibiwa you are not selected! Daah imeniuma ase.

Mshahara umekugharimu,pole,taja kima cha chini cha mshahara.
 
ulionesha dalili za njaa ulivyoshutuka na kushangaa mwagari. na kibaya zaidi ukataja mshahara kima cha kuku ndo wakakusoma kwamba wewe hiyo kampuni huwafai. inawezekana kulikuwa na kamera maeneo yote ulipopitishwa na kuna timu nyingine ya usahili next room ikaona unavyowaka matamanio wakakupiga chini.
 
Back
Top Bottom