Hii imekaeje kwa mke kukaa mapaja wazi mbele ya mme wake?

Mwanamke akiwa na mmewe anatakiwa kuwa kahaba. Ili amatamanishe mmewe? Mbona mkienda bar mnapenda kuwashika ma***o waudumu wa kike.
 
Kwani wewe mkuu umefikia umri huo haijakutokea kweli?
Kosa ni kuacha mlango wazi wakiwa faragha au labda kukuruhusu kuingia kabla ya kujistiri. Ila mkuu huwa unaenda kuwatembelea muda gani na je, huwa unatoa taarifa kabla ya kwenda ??..
Isije kuwa unayetengeneza mazingira mwenyewe mkuu
 
Kwani wewe mkuu umefikia umri huo haijakutokea kweli?
Zamani Sana ila kwa sasa huwa siendi sehemu bila ya taarifa. Kama unakaa uswazini kwetu ni sawa maana watu wanatembeleana kiurafiki kwa mwendo wa mguu wa dakika 5 hivyo, unaweza kutana na mazingira yasiyofaa
 
Wakuu habari zenu, poleni na majukumu ya hapa na pale,

Naenda kwenye maada, iko hivi kama maada inavyo jieleza hapo, yaani mwanamke kukaa mapaja waziwazi pale wanapokua wawili na mmewake, iwapo akitokea jirani au mtu tofauti ndio utaona mwanamke anajifunikafunika kanga vizuri,nilimkuta ndugu mmoja wakipiga stori na mke wake, yule shemeji yangu alikua amejisahau amejiachia nilivotokea ndivo akaanza kujifunika funika mapaja, hii imenitokea mara kazaa kwa marafiki zangu na hata kwingine

Sasa swali langu hua najiuliza kwanini iwe hivyo au kwasababu mwanamke anaona kua mmewake anamjua kilakitu ndio maana wakiwa wawili anajiachia tu.?

Imeandikwa na
Exalioth: natumia Jamiiforum
Nimefungua chap nikajua kuna picha bna ahh na weye bna waiiiiii
 
Muwe mnapiga hodi mnapoingia kwenye miji ya watu hata kana wameacha milango wazi. Ustaarabu wa wapi huu unaouleta. Mke anaweza kukaa vyovyote atakavyo provided wako wawili na ni kwenye mji wao.
 
Jamani ushasema mbele ya mme wake hivi unataka ajisitiri nini tena hapo....kosa ni huyo mgeni wa kuingia tu bila kubisha hodi
 
Wakuu habari zenu, poleni na majukumu ya hapa na pale,

Naenda kwenye maada, iko hivi kama maada inavyo jieleza hapo, yaani mwanamke kukaa mapaja waziwazi pale wanapokua wawili na mmewake, iwapo akitokea jirani au mtu tofauti ndio utaona mwanamke anajifunikafunika kanga vizuri,nilimkuta ndugu mmoja wakipiga stori na mke wake, yule shemeji yangu alikua amejisahau amejiachia nilivotokea ndivo akaanza kujifunika funika mapaja, hii imenitokea mara kazaa kwa marafiki zangu na hata kwingine

Sasa swali langu hua najiuliza kwanini iwe hivyo au kwasababu mwanamke anaona kua mmewake anamjua kilakitu ndio maana wakiwa wawili anajiachia tu.?

Imeandikwa na
Exalioth: natumia Jamiiforum

ukiongezeka ongezea umri utapata jibu mwenyewe
 
Umejibu mwenyewe
 
Back
Top Bottom