Hii imekaeje kwa mke kukaa mapaja wazi mbele ya mme wake?

Mkuu usizoee hivyo maana anaweza kujisahau akaenda ata jirani akajiachia

Nadhani huelewi maana ya kuwa mwili mmoja.

Kama tunaoga pamoja, tunalala pamoja, na ukiwa nyumba ina privacy nzuri kiasi ambacho wageni wataanza kugonga getini, hatuvai nguo hata moja.

Kila mtu na anavyoona kwamba inamfaa.
 
Mwanaume au mwanamke hana cha kuficha mbele ya mwenza wake maana wote wanajuana A-Z.
Ila mwanamke kujiweza wazi muda mwingi humfanya mumewe kuizoea ile hali na kukosa hisia (msisimuko) mara aonapo.

Ni vyema kukaa kimitego kwa wakati maalum na lengo mahususi ili jambo hilo liwe na athari kwa hisia za mwenza wake.
Point muhimu sana mkuu.
 
Basi sawa
Nadhani huelewi maana ya kuwa mwili mmoja.

Kama tunaoga pamoja, tunalala pamoja, na ukiwa nyumba ina privacy nzuri kiasi ambacho wageni wataanza kugonga getini, hatuvai nguo hata moja.

Kila mtu na anavyoona kwamba inamfaa.
 
Si bora huyo ulikuta mapaja tu, maana wengine kama weekend Mr yupo ndio tunashindaga na mitandio mepes tu. Toa taarifa kama unaenda kwa mtu sikuhizi simu zipo, kwanamna yoyote ukishatoa taarifa kuwa utaenda siku hyo basi hata watu kwa siku hyo watakaa wakitarajia kuna ugeni, siyo unaibuka tu hayo ndio matokeo yake
 
Lakini mm huwa najisikia ovyo kukaa mbele ya mwanamke nikiwa uchi yani kumuonesha mizigo bora nimgeukie yani aone tako
Matako yenyew yawe yana rangi basi mengi utakuta meusi tii, sababu hamjui hata kuyapaka mafuta. Bora aone tu hyo mizigo kuliko matako
 
Wanawake hamko smat tu nenda ata kwenye mkusanyiko wawanawake ukitokea mwanamme utaona wanajirekebisha kwanini iwe hivyo
Si bora huyo ulikuta mapaja tu, maana wengine kama weekend Mr yupo ndio tunashindaga na mitandio mepes tu. Toa taarifa kama unaenda kwa mtu sikuhizi simu zipo, kwanamna yoyote ukishatoa taarifa kuwa utaenda siku hyo basi hata watu kwa siku hyo watakaa wakitarajia kuna ugeni, siyo unaibuka tu hayo ndio matokeo yake
 
Mi nikikaa na wangu huwa anaachaga mipaja wazi,, ila huwa namkubusha namwabie "oyooo funika utamu huo"
 
Mpiga chabo wewe sasa umeamua kuingia ndani kwa watu kabisa. Take care.
 
Back
Top Bottom