Kwa Hiyo hapo mkuu Viol ni kila mtu achape lapa, lakini Kuna ulazima wa kuambiana ukweli au kimya kimya tu mtu atajiongeza
Umesema ni tofauti ya kitu kidogo,mtu kukuchunia hata week au mwezi kwa kitu kidogo hapo lazima ujikate zako,mtu anayekupenda kweli kukuchunia hata kwa siku nzima ni ngumu sana,watu kama hao hata usibembeleze wanapata kiburi,kaa kimya na wewe kama anakupenda atakutafuta,kuchuniwa kwa mwezi wote ujue hapo hamna lako
Ukifanyiwa hivo huna lako alitafuta kisingizio akupige chini
sitaki nataka za nini kwani nyie kuku? kama mnapendana yaongeeni yaishe kama mmechokana kila mtu ashike njia yake