Kinachoudhi hukumuuliza hata!
Uambiwe wa 20 utoke nduki!!!
kupunguza hiyo sifuri ndo mpango....
Teh teh your the second lol kidume unajipa bichwa kumbe wa 30
dah! wewe n muerevu!Mkuu yaani hawa wanawake utafikiri wamefundishwa na mwalimu mmoja kuwa kila mwanaume ukiwa nae akikuuliza mie ni wangapi kwako ujibu wa 2.... Mwenzio nishaachaga kuuliza hilo swali kitambo maana ninaonaga tu kama halinisaidii sana sana nitaishia kumuongezea dhambi mwenzangu nyingine za kudanganya
hahahaaa! Kuna mmoja mm aliniambia ww ni wapili tangu nianze wakat baadae nikaja kugundua kumbe alishazalishwa.