Hii imekaaje wapendwa


Nimesoma imebidi nigonge tu thanks nakunyamaza maana haya mazito tena mno
 
Changamoto kwa mke wake. Huyo Ex wake yaonesha alikuwa anampenda kwa dhati. Huyu anayeishi naye napata mashaka, yawezekana hata birthday ya husband wake haikumbuki

Acha majungu, kukumbuka birthday ya mtu sio kipimo cha kwamba unampenda.
Huyo dada aliyeandaa sherehe hajatulia na huenda uwezo wake kifedha ndio unamsumbua, na ukute aliolewa na huyo mwanaume huku akiwa hampendi ila alifuata mihela, hivi umeolewa na mwanaume unayempenda kwa dhati unaweza kujiangaisha kumfanyia sherehe mwanaume mwingine kweli. Nina wasiwasi kwanza watakuwa wanaendelea na uhusiano hamna cha ex walanini hapo
 

Eti birthday halafu kakaa high table. hivi ilikuwa ya nini hiyo sherehe utafikiri mtoto. Dena mwambie shostito mtenda hutendwa
 

mhh.apa utasikia tukumbushie we si x wangu?! Namiss utundu wako!Wanawake bwn! Mi nashauri mkiachana muachane kweli kama ni kupigiana simu isiwe ile ya mara kwa mara,mazoea hujenga tabia! Nlishaona x-partners wanawatoroka wanandoa wao na wanaenda kukumbushia huko Bongoyo. Kwa mtindo huo tunampa mbu kazi ya kutibu malaria. Ila kwa party yenu mi siwapingi,ila ningekuwa mhusika na nkagundua hapo hapo ntakushauri muendelee na party zenu milele.
 


Kweli umesema mkuu
 
heee inamaana eksigelifrendi ndio kaifanya hiyo besdei? Kama ndivyo mi naona Kama anajipendekeeeeza tuu kwa mabwana za watu na sio kingine
 
heee inamaana eksigelifrendi ndio kaifanya hiyo besdei? Kama ndivyo mi naona Kama anajipendekeeeeza tuu kwa mabwana za watu na sio kingine

Inawezekana mwaya kuonyesha labda anavijisenti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…