Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,924
- 61,707
Watu wa namna hiyo, unaishi nao vipi?Na akifanya kazi anaona una mtumikisha, una mnyanyasa, unajidain. N.K. Binadamu walio wengi hawana jema.
Wakija kwako huwa unawasaidiaje?Mambo yao waachie wenyewe
Huwa tunalalamika watu weupe wanabebana, sisi weusi tunafeli wapi? uKiwapa kazi hawataki, bali wanataka wawe sehemu ya bajeti ya kutafuna hela zako.Kamsemee kwa babaake
Hiyo nafasi nipe mm tuu, achana na ndugu miyeyusho, usiumize kichwa.Huwa tunalalamika watu weupe wanabebana, sisi weusi tunafeli wapi? uKiwapa kazi hawataki, bali wanataka wawe sehemu ya bajeti ya kutafuna hela zako.
Kwa nini inakuwa hivyo?Hiyo ni kawaida sana
Hawa wenzetu asili ya Asia, wanafanikiwaje?Tajiri hiyi ya kuwaingiza ndugu kazini, inapaswa uifanye kwa umakini sana.
Mimi nimelizwa na kufanyia "sabotage" sana kwenye biashara zangu na ndugu, niliowaaminii. Unamuweka ndugu kumsaidia yeye anawaza kukupiga.
Tunaamini hizo mali zenu zinakuwa zetu wote so huna haja ya kututesa.Kwa nini inakuwa hivyo?
Hawa wenzetu wa Asia, wamefanyaje kufanikiwa kwenye hili?Tunaamini hizo mali zenu zinakuwa zetu wote so huna haja ya kututesa.
NB na mimi ni mmoja wapo ya hao ndugu unaowasemea
Hawa wenzetu asili ya Asia, wanafanikiwaje?
Wao wana utajiri mkubwa ambao hata tukila hatuwezi kumalizaHawa wenzetu wa Asia, wamefanyaje kufanikiwa kwenye hili?
Uko sahihi, kwa mazigira ya sasa, una pambana nao vipi?Wale wana "succession plan" na "wealth lineage" nzuri. Mtu anazaliwa anafundisha na kuiishi biashara. Sisi hapa ndugu ukitoboa ndio wanakuja, kwa kaka, kwa mjomba, kwa shemeji n.k.
Wenzetu biashara kwao ni tabia, wamezijenga, zimewajenga. Fikiria mtu anakuja kwako kwa wazo la kujiegesha wakati anasubiria kazi za serikali ambazo waga hapati! 😊
Mindset mtu wangu!
Kwa hiyo wao wameruhusu ndugu na jamaa waule utajiri bila kuuendeleza?Wao wana utajiri mkubwa ambao hata tukila hatuwezi kumaliza
Uko sahihi, kwa mazigira ya sasa, una pambana nao vipi?