grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 4,015
- 5,664
Haaaaa haaaaa haaaaa Mungu wangu jamani hata balozi zetu huko hazina kazi?
Hii story hata mm nilianza kuisikia tangu nipo nurserywatoto wa tz wanajua japan ni jangwa (us' bombs)
Hahahahaa nimecheka sanahahahaha kweli asee
Hao wanaokuja kufanya kazi huku wakirudi huko wanaenda kuwaanbia hivyoJe? Hao watoto wamefundishwa na nani kuhusiana na jambo hili?View attachment 829693
Ina maana wanatuona wote wamasai mkuu? [emoji3]Hao wanaokuja kufanya kazi huku wakirudi huko wanaenda kuwaanbia hivyo