Lile ni Danguro mdogo wangu!Jamani mie kuna kitu sifurahishwi nacho sijui wenzangu mnakionaje?kitu hicho ni kwamba facebook ni tandao wa kijamii na mawasiliano na kunganisha watu, lakini kuna baadhi ya waru wamegeuza sehemu za kuonesha maumbile yao ya hips na mengineyo.hawa tuwachukulie vipi?mwenye busara ufikiri kabla ya kutenda.
Kule kumejaa uzinzi tu, mi niliwahi kusema hapa watu wakanisakama sana kwamba wanatangaza biashara zao ohh mimi ndio sijui matumizi ya kule lakini nina watu karibu 20 ambao wanalia na FB ama wamechukuliwa mademu zao ama mabwana zao thru fb...nina vijana pia nawafahamu wameshalala na mabinti tofauti tofauti zaidi ya 20 kutoka humo humo fb...kule hakufai ni ushenzini..
facebook kwa masharobaro na masharobaby.
Sababu kila swali linaweza kuongelewa hapa hapa. Naona hii topic iko soooo interesting kwa maana ya kwamba Facebook iko "person oriented". unakua rafiki wa mtu kutokana na umbo lake, marafiki zake, satatus yake, activities na interest zake etc. Hapa JF unakua rafiki wa mtu kufatana na michango yake na sometimes avatar yake (Waulize the Boss na The Finest...). Interesting...hivi hii mada kwa nini msingeipeleka huko huko fb naona ni ujinga kuiongelea hapa
Jamani mie kuna kitu sifurahishwi nacho sijui wenzangu mnakionaje?kitu hicho ni kwamba facebook ni tandao wa kijamii na mawasiliano na kunganisha watu, lakini kuna baadhi ya waru wamegeuza sehemu za kuonesha maumbile yao ya hips na mengineyo.hawa tuwachukulie vipi?mwenye busara ufikiri kabla ya kutenda.

hivi hii mada kwa nini msingeipeleka huko huko fb naona ni ujinga kuiongelea hapa
facebook kwa masharobaro na masharobaby.