Hatamimi jambo hili liliniduwaza.. sikutaka kubishana nao..ila nimepanga kwenda kwa afisa elimu sekondari nikapata mabadiliko ya kanuni mpya...Hiyo ni shule gani, shule za kata ama hizi za english medium? Hakuna upuzi kama huo yani ulipishwe faini
Kwa maelezo yake Taarifa hakutoa, hii ni kutokana na kutokua na mawasiliano na uongozi wa shule yaan nambari zao za simu, na umbali kati ya shuleni hapo na nyumbani kwa mwanafunzi huyo . Lakini kama haitoshi mtoto amekuja na vielelezo vya nyaraka mbalimbali za manunuzi ya dawa na ushahidi wa jeraha physically.. Yani jeraha bichi lipo linaonekana pasipo kuwa na shaka yoyoteJe mzazi/mlezi alitoa taarifa ya ugonjwa wa mwanafunzi/mtoto wake shuleni au unauliza kiushabiki tuu?
Hiyo adhabu inatokana na kutokuwepo connection baina ya mzazi na walimu.maendeleo ya mwanafunzi kitaaluma ni lazma kuwe na ufuatiliaji wa karibu wa mzazi na mwalimu na wawe wanawasiliana.wazazi hawafuatilii maendeleo ya watoto wao wakiwa mashuleni kiasi kwamba walimu wanaamua kutengeneza sheria kali kama hizo..Kwa maelezo yake Taarifa hakutoa, hii ni kutokana na kutokua na mawasiliano na uongozi wa shule yaan nambari zao za simu, na umbali kati ya shuleni hapo na nyumbani kwa mwanafunzi huyo . Lakini kama haitoshi mtoto amekuja na vielelezo vya nyaraka mbalimbali za manunuzi ya dawa na ushahidi wa jeraha physically.. Yani jeraha bichi lipo linaonekana pasipo kuwa na shaka yoyote
Hiyo adhabu inatokana na kutokuwepo connection baina ya mzazi na walimu.maendeleo ya mwanafunzi kitaaluma ni lazma kuwe na ufuatiliaji wa karibu wa mzazi na mwalimu na wawe wanawasiliana.wazazi hawafuatilii maendeleo ya watoto wao wakiwa mashuleni kiasi kwamba walimu wanaamua kutengeneza sheria kali kama hizo..
Unaita WIZI kua ni Adhabu, are you for real?Hiyo adhabu inatokana na kutokuwepo connection baina ya mzazi na walimu.maendeleo ya mwanafunzi kitaaluma ni lazma kuwe na ufuatiliaji wa karibu wa mzazi na mwalimu na wawe wanawasiliana.wazazi hawafuatilii maendeleo ya watoto wao wakiwa mashuleni kiasi kwamba walimu wanaamua kutengeneza sheria kali kama hizo..
Ground ya tukio hili ni shiria ya tozo la faini ya fedha au mali kwa wazazi, kukinzana na sheria zetu za nchi. Kimsingi haikua busara kwa walimu kutoza faini za fedha taslimu au mali mbadala wake wangeli toa angalau adhabu kwa wanafunzi wakosefuHiyo adhabu inatokana na kutokuwepo connection baina ya mzazi na walimu.maendeleo ya mwanafunzi kitaaluma ni lazma kuwe na ufuatiliaji wa karibu wa mzazi na mwalimu na wawe wanawasiliana.wazazi hawafuatilii maendeleo ya watoto wao wakiwa mashuleni kiasi kwamba walimu wanaamua kutengeneza sheria kali kama hizo..
Mi nafikiri ingekuwa busara zaidi mkarudi na kuliweka sawa hili kwan haikuwa na haja kutoza fine kwa mwanafunzi aliye na sababu kama hyo.Ground ya tukio hili ni shiria ya tozo la faini ya fedha au mali kwa wazazi, kukinzana na sheria zetu za nchi. Kimsingi haikua busara kwa walimu kutoza faini za fedha taslimu au mali mbadala wake wangeli toa angalau adhabu kwa wanafunzi wakosefu
Umewaza kama mimi maana hakuna namna walimu wanaweza kujitungia tu taratibu hizo. Maana hata hiyo pesa wamesema inakwenda serikali ya kijiji.Inawezekana ni sheria ndogo (bylaws)zilizowekwa na serikali za mtaa(kata) ili kudhibiti utoro.Kama ni hivyo je wazazi mlishirikishwa/kufahamishwa juu ya sheria/taratibu hizo?
Mkuu, kiuhalisia hapo ni kwamba mzazi/mlezi wa mtoto/mwanafunzi anakomolewa somehow kwa maana ya kushindwa kuonyesha ushirikiano kwa walimu wa mtoto wake kwa sababu aliyekuwa anaumwa ni mtoto na mzazi angefanya hima kutoa taarifa shuleni kwakuwa serikalini kinachoaminika ni sick sheet na si vinginevyo na siku hizi miongozo ni mingi mno kwenye kazi za serikali hadi sio poaKwa maelezo yake Taarifa hakutoa, hii ni kutokana na kutokua na mawasiliano na uongozi wa shule yaan nambari zao za simu, na umbali kati ya shuleni hapo na nyumbani kwa mwanafunzi huyo . Lakini kama haitoshi mtoto amekuja na vielelezo vya nyaraka mbalimbali za manunuzi ya dawa na ushahidi wa jeraha physically.. Yani jeraha bichi lipo linaonekana pasipo kuwa na shaka yoyote
Unawezakuta huyo mzazi hata vikao vya wazazi shuleni hakuwahi na hana hta mpango wa kuhudhuria ...Umewaza kama mimi maana hakuna namna walimu wanaweza kujitungia tu taratibu hizo. Maana hata hiyo pesa wamesema inakwenda serikali ya kijiji.
Kwaiyo wazazi wasipo kuwa na hiyo pesa watoto wao waache shule..? hiyo bylaws ni ya kikoloni na kandamizi kabisa.. serikali za mitaa hawawezi kukaa na kutunga sheria inayo kinzana na katiba ya nchi.. Any law against national constitution is invalid.Umewaza kama mimi maana hakuna namna walimu wanaweza kujitungia tu taratibu hizo. Maana hata hiyo pesa wamesema inakwenda serikali ya kijiji.
Mkuu unajua kwamba kuna sheria ndogo ndogo ambazo zaweza kutumika kama reference hata kwenye hyo katiba ya nchi?Kwaiyo wazazi wasipo kuwa na hiyo pesa watoto wao waache shule..? hiyo bylaws ni ya kikoloni na kandamizi kabisa.. serikali za mitaa hawawezi kukaa na kutunga sheria inayo kinzana na katiba ya nchi.. Any law against national constitution is invalid.