Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,101 Jun 27, 2014 #41 That's y I said so..bt nt a bg deal.let t slide if u dnt mind. .
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,920 Jun 27, 2014 #42 Heaven on Earth said: hahaha labda habari yako baba paroko Click to expand... Njema mrembo Hujambo lakini?
Heaven on Earth said: hahaha labda habari yako baba paroko Click to expand... Njema mrembo Hujambo lakini?
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,234 Reaction score 26,754 Jun 27, 2014 #43 Eiyer said: Njema mrembo Hujambo lakini? Click to expand... sijambo baba paroko hofu juu yako
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,920 Jun 27, 2014 #44 Heaven on Earth said: sijambo baba paroko hofu juu yako Click to expand... Mi sijambo kabisa mrembo wangu Nipe mpya za huko!
Heaven on Earth said: sijambo baba paroko hofu juu yako Click to expand... Mi sijambo kabisa mrembo wangu Nipe mpya za huko!
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,631 Jun 27, 2014 #45 Toka siku ya kwanza mwanaume anagoma kurudisha kadi, Kwanini asingeenda bank akasimamisha matumizi ya kadi?? Huyo mwanamke ni zoba la mwisho duniani. Akasitisha transactions zote
Toka siku ya kwanza mwanaume anagoma kurudisha kadi, Kwanini asingeenda bank akasimamisha matumizi ya kadi?? Huyo mwanamke ni zoba la mwisho duniani. Akasitisha transactions zote
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,073 Jun 27, 2014 #46 mim fasta naenda kufunga akaunti nabadilisha no ya siri kwisha habar hivi kwanin wanawake wengne wanashindwa kushirikisha ubongo ktk swala nyeti kama hili?? ati mtu anakomba mshahara wangu woii !!!!!!
mim fasta naenda kufunga akaunti nabadilisha no ya siri kwisha habar hivi kwanin wanawake wengne wanashindwa kushirikisha ubongo ktk swala nyeti kama hili?? ati mtu anakomba mshahara wangu woii !!!!!!
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Jun 27, 2014 #47 Huyo dada akome Ila akome zaidi kwa kuwa ana akili ya kuiba waume za watu tu akili nyingine hana Alishindwa kwenda kureport kuibiwa kadi? Alishindwa kwenda kublock benki? Kweli ana akili zake zimeishia kutembea na waume za wenzie tu
Huyo dada akome Ila akome zaidi kwa kuwa ana akili ya kuiba waume za watu tu akili nyingine hana Alishindwa kwenda kureport kuibiwa kadi? Alishindwa kwenda kublock benki? Kweli ana akili zake zimeishia kutembea na waume za wenzie tu
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Jun 27, 2014 #48 kan'tangaze said: Akamwambie mkewe amchonganishe mpaka waachana.ubaya kwa ubAya Click to expand... Mie ningekua ndio mke wa jamaa (Mungu aepushe mbali) ningemtiririshaje huyo mwanamke? Walivyopeana kadi na password mie nilikuwepo? Wasinishirikishe upuuzi wao aisee
kan'tangaze said: Akamwambie mkewe amchonganishe mpaka waachana.ubaya kwa ubAya Click to expand... Mie ningekua ndio mke wa jamaa (Mungu aepushe mbali) ningemtiririshaje huyo mwanamke? Walivyopeana kadi na password mie nilikuwepo? Wasinishirikishe upuuzi wao aisee
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,101 Jun 27, 2014 #49 BADILI TABIA said: Mie ningekua ndio mke wa jamaa (Mungu aepushe mbali) ningemtiririshaje huyo mwanamke? Walivyopeana kadi na password mie nilikuwepo? Wasinishirikishe upuuzi wao aisee Click to expand... Hlo nalo neno kwa upande wa pl wa sh
BADILI TABIA said: Mie ningekua ndio mke wa jamaa (Mungu aepushe mbali) ningemtiririshaje huyo mwanamke? Walivyopeana kadi na password mie nilikuwepo? Wasinishirikishe upuuzi wao aisee Click to expand... Hlo nalo neno kwa upande wa pl wa sh
MAULA JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,056 Reaction score 171 Jun 27, 2014 #50 bwu ha ha ha ha. hawez ktsha mahaba kienyej hvyo