Hii imekaaje jamani

Ndio maana nilishasemaga hapa mke wa mtu mimi sitaki hata anipe nini...ni dhambi mbaya sana. Ona sasa binti kavamia mme wa mtu yanamkuta matatizo..ni laana hiyo. Mleta mada ebu mwambie huyo binti ani PM kama yuko JF kama hayuko nichukulie namba.
 
Sasa jamani we wala na kipofu the wamshika mkono wategemea nii
 
Binti nae mjinga, kuhusu mwanaume kumng'ang'ania kwanini asiende kumshtaki kwa mkewe?
Kuhusu kadi ya bank, mabenki hapa mjini yamejaa kibao kwanini asihamishie mshahara bank nyingine amwachie hiyo kadi, au aende bank awaambie wablock hiyo kadi imepotea then aprocess kadi mpya? Labda nae anataka kuhangaishana na huyu baba tu
 

Inaonekana huyo dada anataka tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…