How old are you????!!!!!!!!! We kutongoza unadhani ni kufanya kitu gani?????????Ni mapema ya asubuhi ya ijumaa unawahi mzigoni njiani unakutana na mtoto wa kike mzuri amejaajaa anatembea kwa pozi kuelekea kituo cha daladala, unaona isiwe nongwa unaamua kumpa lifti, hajivungi anaingia garini nawe unang'oa mchuma. katika maongezi unagundua yupo customer care kwenye kampuni moja ya simu hapa mjini. unaomba date jioni bila matata unakubaliwa. Jioni unachomoka mzigoni unampitia mtoto huyo kiwanja flani mnapata dinner ya kiaina, stori na bia mbili tatu, anaomba ofa ya Mzalendo Pub kwa jide huna haraka unampleka mnasakata rumbha hadi mida flani anadai amechoka unachomoka nae hadi nyumba ya wageni unapiga mzigo hadi asubuhi, kumbuka hapo hujamtongoza hii imekaaje wadau!!!!!???
Ni mapema ya asubuhi ya ijumaa unawahi mzigoni njiani unakutana na mtoto wa kike mzuri amejaajaa anatembea kwa pozi kuelekea kituo cha daladala, unaona isiwe nongwa unaamua kumpa lifti, hajivungi anaingia garini nawe unang'oa mchuma. katika maongezi unagundua yupo customer care kwenye kampuni moja ya simu hapa mjini. unaomba date jioni bila matata unakubaliwa. Jioni unachomoka mzigoni unampitia mtoto huyo kiwanja flani mnapata dinner ya kiaina, stori na bia mbili tatu, anaomba ofa ya Mzalendo Pub kwa jide huna haraka unampleka mnasakata rumbha hadi mida flani anadai amechoka unachomoka nae hadi nyumba ya wageni unapiga mzigo hadi asubuhi, kumbuka hapo hujamtongoza hii imekaaje wadau!!!!!???

imekaa kimalayamalaya, huenda ni binti wa biashara we una ng'ang'ania ni customer care wa kampuni fulani ya simu hahaha....
...Hii Imekaa vipi????, kumbuka hapo hujamtongoza hii imekaaje wadau!!!!!???
..so far ni CUSTOMER CARE.....! i expected the same
Kafundishwa kujali wateja.
Hivi kuna haja ya kuuliza imekaaje? Mtu yeyote mwenye akili timamu anajua hii imekaaje!
Imekaa kimalayamalaya....
kaka hapo umekutana na changu
How old are you????!!!!!!!!! We kutongoza unadhani ni kufanya kitu gani?????????
Imekaa kimalayamalaya, huenda ni binti wa biashara we una ng'ang'ania ni customer care wa kampuni fulani ya simu hahaha....
Kakague kule juu. Yaani jamaa amenikumbusha mambo ya shule za msingi na sekondari kaaaaaaaazi kwelikweli.heee leo umenipa raha, au anadhani kutongoza lazima i luv nyingiii....mbona mie ndo style ya kutongozwa niliyokuwa natongozwa nayo enzi hizo. kwanza mie mtu alikuwa akianza ohh nilikupendaga sana...ohhh unajua kimepanda kimeshuka hapo ndio mwisho wake, kaka ndio ustaarabu/utaratibu mzuri wa kutongoza kama hujui...kilichotofati ni hiyo mliyochomoka kirejareja hapo....vinginevyo hiyo date ndio mtongozo wenyewe.