Hii imeaje kwa wanaume.

Mbangubangu

Senior Member
Joined
May 6, 2013
Posts
188
Reaction score
70
Hii naona inatokea sana kwa wanaume unamtogoza mwanamke akikubali fasta unaanza kuwa na wasiwasi na fikra potofu hooh huyu kicheche.hooh ntapigwa mizinga.
Ukitongoza ukizungushwa napo lawama.
Sasa kipi sahihi hapo
 
Achana nazo hizo habari fuata maisha usije kupotea kizembe....



hii naona inatokea sana kwa wanaume unamtogoza mwanamke akikubali fasta unaanza kuwa na wasiwasi na fikra potofu hooh huyu kicheche.hooh ntapigwa mizinga.
Ukitongoza ukizungushwa napo lawama.
Sasa kipi sahihi hapo
 
dah,usingiz hauji,jf napo mizinguo,nataman had kulia
 
Mhhhh mbona ck iz iyo kawaida!!!.... wadd ckbiz hawaremb...hajutak...hajutak tu...km anakutaka ni fasta tu....
 
Mwanamke maharage ya mbeya anatia shaka.
 
women that give it up easily r the best....wanajua thamani ya muda
 
TATIZO WANAUME WENGI THEY GO FOR PAPUCHI AND NOT LOVE

hamjui mnataka nini kwa mwanamke
 
Inategemea unataka nini...........kama unataka partner wa kudumu yaani umekutana naye club na usiku huo ushapiga kwenye gari hapo utaacha kujiuliza!!!!?????? Ila kama ulitaka just a puke hapo poa na amakuwa mshikaji kabisa as hakuna feelings wala strings!!!!!

Partner wa kudumu awe reasoning bana...maswali na maelezo yanayotokana na proposal yako japo ujue kuna mtu anafikiria sio kanyaga twende tu kama mkokoteni wa maksai!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…