Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Kuna kazi niliomba kupitia tume ya ajira mwaka jana.Kigezo cha elimu walikuwa wanataka diploma in educatio.Niliambatanisha cheti cha diploma ingawa nina hata bachelor ya hyohyo education.
Sasa nimeitwa usaili,je ni sahihi siku ya usaili nkawaonesha na cheti cha bachelor au niendelee kuzingatia malekezo yao ya diploma tu?
Sasa nimeitwa usaili,je ni sahihi siku ya usaili nkawaonesha na cheti cha bachelor au niendelee kuzingatia malekezo yao ya diploma tu?