Hii ikoje? Siielewi

Hapo kuna mambo 5 master.

Huenda

1- kashapata mtu mwingne anaemvutia na kumuona wa tofauti zaidi yako. But anashindwa namna sahihi yakukuacha mana nafsi inamsuta. Na huenda kweli anakupenda ila huyo jamaa kuna kitu anampa/anamfanyia kinampagawisha.

2: Anakupima kiwango cha upendo ulichonacho juu yake. Wanawake sometimes hupenda vile tunavyowabebembeleza na kuhangaika juu yao.

3: Kuna kitu/vitu ulimuahidi but siku zinaenda haoni ukitekeleza so anaanza kuwa na wasiwasi na wewe japo anakupenda.

4: Kuna imani flani imemuingia anahisi mnachofanya mnakosea ila ndo ashakupenda. Anatamani ndoa.

5: Kuna skendo zako kaziskia anaumia japo hajawahi kukwambia
 
Kama umeshindwa kujiongeza hata kwenye hili nna mashaka kama wewe ni mwanaume labda bado ni mvulana
 
Punguza Chips na kuchezea simu/kuchat Insta wakat wa show
 
Hiyo hali ni kawaida! Unaweza ukawa na mtu hamjawai hata kugombana lakini inafika point ile touch ya mwanzo inaondoka kabisa na sio lazima awe na mtu wa pembeni (mchepuko)!
 
Sisi wenyewe hatuelewi, iko hivyohivyo mkuu😆😆
Kama unajua unataka kuachwa, achika mkuu. Mbona alivyokubali ulienjoy, na kuachwa enjoy tu mkuu
 
Sisi wenyewe hatuelewi, iko hivyohivyo mkuu[emoji38][emoji38]
Kama unajua unataka kuachwa, achika mkuu. Mbona alivyokubali ulienjoy, na kuachwa enjoy tu mkuu
Duh[emoji3][emoji3]
 
Labda namba 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…