wanafunzi wa kdato cha 4 waloftiwa matokeo yao watarudishiwa fedha zao walzotumia as application fee ktka fan mblmbal za afya?zsiporudshwa znaenda wap?au watapewa 2nd chance ya kuapply kwa ktumia hyo fedha?naomba kuwaklisha wakuu
Hakuna jipya kwani matokeo mapya si bado hivyo hata wao wanasubiri hilo hawawezi kuwa na majibu kabla ya matokeo mapya. kuanzia hapo watatoa maelezo ya jinsi ya kuomba upya na kwa watu ambao walishatuma pia watatoa maelezo kuhusu hili wewe usiwe na wasiwasi kwa hilo.