Hii idadi kubwa ya walimu wa kike kwenye shule za mjini na miji imekaaje?

Hawa hata ukiongea hivi wanaona kama unaongea vitu vya hovyo, dawa ni ngoja hili taifa tufikie hatua ya kama kule Marekani ambapo wanaume wanaanza kujigeuza jinsia na kuwa wanawake na kuanza kudemand kutambuliwa kama wanawake halisi ili waweze nao kuruhusiwa kucheza michezo na wanawake kama kuingia ligi za mpira za wanawake, kutumia vyoo vya wanawake, kujadili mambo ya wanawake, kugombania wanaume na wanawake.

Huko ndipo tunaelekea na hizi mambo za kuforce tamaduni za kimagharibi kwenye inchi zetu na kuharibu ustawi wa jamii ya mwafrika.
 
Wake za watu hao, nyie mnapangiwa vijijini huko.......hao wanafunzi kwani hawaondoki shule kwenda kuchangamana kitaa, masaa 24 wapo na walimu?
Wewe umesoma ukaelewa?

Mtoto analelewa na single mother ambaye hana mume, nyumbani huwa anabakia na dada wa kazi akiwa mama hayupo nae. Shule ndio hao walimu wa kike tupu, huyu mtoto anapata wapi influence ya kiume maishani mwake ?

Halafu baadae tunakuja kuulizana hapa mashoga huwa wanatokea wapi?
 
Back
Top Bottom