Hii hapa tafsiri fupi ya Udikteta kwa Mujibu wa Mwl Nyerere

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,697
218,219
Hii ndio maana ya Udikteta, kwa mwenye kujua maana ya Udikteta uchwara atujuze b.jpg

FB_IMG_1568541419010.jpg

- Yalisemwa miaka mingi lakini leo yanatimia !
 
siku Dikteta akikugusa ndio utaelewa maana ya kauli hizi
Utakuwa ni mtu mwenye matatizo makubwa yenye madhara ya moja kwa moja kwa taifa mpaka uogope kuguswa.

Usipokuwa na akili za usaliti kwa taifa lako kwanini uogope kuguswa?.

Usipokuwa na akili za fitina dhidi ya serikali kwanini uogope kuguswa?.

Rada moja imezinduliwa jana, zimebaki tatu, nchi yetu yote itakuwa ikionwa katika mfumo huo wa rada.

Pia pato la taifa linakwenda kuongezeka, wewe endelea kutafuta hivyo vipande vya maneno ya Mwalimu Nyerere kwa nia ya kujifariji.
 
Shida iko kwenye tafsiri yenu ya usaliti , ukishindwa kumuabudu kiongozi unaitwa msaliti ! na nikuhakikishie kwamba usije kudhani kuna siku tunamuabudu binadamu mwenye damu na nyama , Never ever ! tutaendelea kupinga udikteta hadi nchi hii ikombolewe , wala siyo mbali .
 
Endeleeni kulialia wakati watu wanafikiri ni namna gani nchi inaweza kuendelea kama zilizoendelea.

JK aliitwa dhaifu huyu wa sasa anaitwa mbabe, huyo rais anayeweza kwenda sambamba na njozi zenu bado hajazaliwa na siku akiweza kuwepo pale Magogoni, mimi na wewe tutakuwa tunaitwa Marehemu.
 
Katiba ya nchi ni muhimu kuliko ujinga wowote mwingine na nakuhakikishia kwamba Mungu yuko upande wetu
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

Katiba haikuwekei chakula mezani kwako, kujituma kazini ndio mpango mzima.

Ukiwa mvivu mwilini na kichwani hakuna maandiko yoyote yenye kuweza kukuongezea kipato.
 
Utakuwa ni mtu mwenye matatizo makubwa yenye madhara ya moja kwa moja kwa taifa mpaka uogope kuguswa.

Usipokuwa na akili za usaliti kwa taifa lako kwanini uogope kuguswa?.

Usipokuwa na akili za fitina dhidi ya serikali kwanini uogope kuguswa?.

Rada moja imezinduliwa jana, zimebaki tatu, nchi yetu yote itakuwa ikionwa katika mfumo huo wa rada.

Pia pato la taifa linakwenda kuongezeka, wewe endelea kutafuta hivyo vipande vya maneno ya Mwalimu Nyerere kwa nia ya kujifariji.
Unakubaliana na hiyo kauli ya Mwalimu Nyerere?
 
kufuata sheria hakuna uhusiano wowote na kumwabudu binadamu
Huyo unayedhani anaabudiwa na yeye hupiga magoti mbele ya maaskofu ili awekewe mikono ya baraka.

Unarudi kule kule kwenye uoga unapoishi kwa kudhani kuwa kuna mtu anaabudiwa. Ni mwendo wa kunyooshana tu.
 
huo ujinga hatutakubaliana nao hata kwa bunduki
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom