Hii hali unadhani husababishwa na nini?

Hii hali unadhani husababishwa na nini?

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Naanza na salamu kwa wote mlioko kwenye mfungo, natumaini hamjambo.

Iko hivi, Unakuta mnauhusiano na mtu au watu fulani either kimasomo, kikazi au kiutafutaji. Punde tu mmoja wenu katika hizo nyanja za kuwa pamoja akifanikiwa unakuta anakimbilia kubadilisha namba ya simu.

Binafsi hii hali Huwa nashindwa kuielewa kwa watu. Mfano, Labda mmeajiriwa ofisi za serikali za kata pamoja, ILa mmoja akapata upenyo wa nafasi bandarini, mara gafla unapiga simu unaambiwa mara umekosea namba, mara mtu sio sahihi.

Najiuliza, je huwa watu Mara nyingi tunakuwa pamoja kwa sababu hakuna namna nyingine na ikitokea sababu bora zaidi wale wa zamani huonekana kama hawana thamani tena kwako?

Swali, kwa nini ubadilishe namba ya simu?
 
Mtaje huyo jamaa unayetaka kumtaja kwasababu sio wote wanaofanikiwa wanabadilisha namba.
 
Ndo hivyo baadhi ya watu hawajiamini na wanahisi kila Mtu anayewapigia sm lengo ni kuwaomba Pesa
 
Naanza na salamu kwa wote mlioko kwenye mfungo, natumaini hamjambo.

Iko hivi, Unakuta mnauhusiano na mtu au watu fulani either kimasomo, kikazi au kiutafutaji. Punde tu mmoja wenu katika hizo nyanja za kuwa pamoja akifanikiwa unakuta anakimbilia kubadilisha namba ya simu.

Binafsi hii hali Huwa nashindwa kuielewa kwa watu. Mfano, Labda mmeajiriwa ofisi za serikali za kata pamoja, ILa mmoja akapata upenyo wa nafasi bandarini, mara gafla unapiga simu unaambiwa mara umekosea namba, mara mtu sio sahihi.

Najiuliza, je huwa watu Mara nyingi tunakuwa pamoja kwa sababu hakuna namna nyingine na ikitokea sababu bora zaidi wale wa zamani huonekana kama hawana thamani tena kwako?

Swali, kwa nini ubadilishe namba ya simu?
Ukiona mtu anabadilisha namba Kwa achievements ndogondogo ujue Hana vision
 
Tatizo lako wewe huna pesa. Pesa ina standards itafute pesa ujulikane
 
Back
Top Bottom