jembe afrika JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 7,602 Reaction score 3,783 Oct 31, 2014 #41 niko huku namtumbo umememtuna mwezi hakuna
T Teamanaconda JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 602 Reaction score 569 Oct 31, 2014 #42 chaUkucha said: salama, me nipo poa, yale mambo yetu kule "patamu" sasa kufuru mambo hadharani..... Click to expand... Acha maskhara mkuu!tangu niende sikukuu ya IDD nikawakosa sijaenda tena aisee!lini wanakuja tena aisee?
chaUkucha said: salama, me nipo poa, yale mambo yetu kule "patamu" sasa kufuru mambo hadharani..... Click to expand... Acha maskhara mkuu!tangu niende sikukuu ya IDD nikawakosa sijaenda tena aisee!lini wanakuja tena aisee?
chaUkucha JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,382 Reaction score 1,221 Oct 31, 2014 #43 Teamanaconda said: Acha maskhara mkuu!tangu niende sikukuu ya IDD nikawakosa sijaenda tena aisee!lini wanakuja tena aisee? Click to expand... sikutanii sasa ivi ni balaa wanacheza kama walivyozaliwa kila jumapili wanakuwepo.
Teamanaconda said: Acha maskhara mkuu!tangu niende sikukuu ya IDD nikawakosa sijaenda tena aisee!lini wanakuja tena aisee? Click to expand... sikutanii sasa ivi ni balaa wanacheza kama walivyozaliwa kila jumapili wanakuwepo.
T Teamanaconda JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 602 Reaction score 569 Oct 31, 2014 #44 chaUkucha said: sikutanii sasa ivi ni balaa wanacheza kama walivyozaliwa kila jumapili wanakuwepo. Click to expand... OK,aisee jpl hii lazima niwe hayo maeneo hapo!maana hii wiki imekuwa hovyo sana kila nikigusa tu ofcn umeme asubuhi unakatika,ngoja nije kupoza hasira zangu hapo jumapili hii!
chaUkucha said: sikutanii sasa ivi ni balaa wanacheza kama walivyozaliwa kila jumapili wanakuwepo. Click to expand... OK,aisee jpl hii lazima niwe hayo maeneo hapo!maana hii wiki imekuwa hovyo sana kila nikigusa tu ofcn umeme asubuhi unakatika,ngoja nije kupoza hasira zangu hapo jumapili hii!