Kichaafulani
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 1,295
- 1,275
What doesn't kill you...
Kumbe tatizo hili linawakumba watu wengi, kwa hiyo unajiepusha vp mkuu?Hii ni kawaida, hata mie nikiingia ubanda/ kwenye gongo hudhaniwa ni polisi...
Makes you stronger, kwa hiyo una maanisha hii hali inanijenga mkuu?
It makes you a real man, men are consummately confident, neither are we preoccupied with other people's emotions
Mimi huwa wanasema naonekana kama Afsa wa TRA.Bas kwa muonekano huo huwa najichukulia mademu kiulainii
Hebu siku moja kunywa kupindikia, imba ukiwa unayumba barabarani halafu baadae angusha gari hapo hapo barabarani.
usalama wa taifa hua hawanywi mpaka kuimba na kuangusha gari.
Kwa utawala mr joker unaweza kutumia hiyo fursa kupiga mtonyo
Kuwa social mkuu,muwazi
Habari,
Mimi ni kijana wa kitanzania, elimu yangu ni shahada nimewahi kufanya kazi katika mashirika mbalimbali na mpaka hivi sasa nimeajiriwa.
Kitu kinachonishangaza ni kwamba kila mahali ninapokwenda/kuishi watu hunidhania kuwa ni Afisa wa usalama wa Taifa. Hali hii ilianza chuoni,ofisini na sasa imefika mpaka mtaa ninaoishi.
Binafsi sifurahishwi na hali hii, nataka nijiepushe nayo na nimekuja jamvini mnipe ushauri nifanye/nisifanye nini ili hali hii ikome maramoja.
Mkuu hii ina maana wewe una a comanding/imposing personality. Watu kama nyie hata kama umechalala (huna hata senti mfukoni) watu watadhani unajifanya tu na kuwa umejaa.
Hali hii usiikimbie bali itumie to your advantage. Kama nyota zako angani zinakupa nuru ya namna hiyo hata ufanyeje bado hiyo external personality itakuwepo tu.
Utaitumiaje personality hii:
1. Utakuwa una uchaguzi wa marafiki unaowataka. Jichagulie marafiki wazuri. Ukisha interact nao kwa muda wataanza kuona kuwa wewe ni mtu wa kawaida tu. Wale ambao hawakuamini basi achana nao.
2. Unaweza kuwa na nafasi nzuri sana ya kupewa cheo (nafasi ya uongozi) kazini. Watu wanapokuogopa ina maana wanaweza kukuheshimu kirahisi na hii ina maana unaweza kuwaongoza kirahisi (a natural leader).
3. Ukisimama na kuzungumza huwa watu wanakusikiliza na hii inaweza kukusaidia kama unahitaji kuingia kwenye siasa.
4. Kama alivyosema kishaija mambo ya mahusiano na wakina mama nadhani ni rahisi sana kwako, au vipi?
You are a natural-born leader. Use this personality trait constructively. Cultivate true friends, advance yourself at work and in the society (meaning if you want something e.g., pay raise, promotion, corner office, etc.) just ask - politely - and you will be amazed what you get in return.
Don't you ever bully people. This will work against you and all this good karma may erode or evaporate.