Murano
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 2,056
- 1,128
Siku ingine rikodi mazungumzo yenu...na hakikisha unamuuliza jina wakati mnaanza mazungumzo ...then lazima wakulipe fidia ya mwaka mmoja bure...ukienda kwa boss wao...na yule alokujibu utumbo usitake tena kujuwa kimemkuta nini...wakikataa ilete youtube tuisambaze...
umeongea point sana mkuu hiyo ndo itakua dawa ya customer care wote hapa town.. ngoja mi nifanye hivo