Hii hali kweli jamani!!!startimes

Hii hali kweli jamani!!!startimes

Blandes

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2011
Posts
406
Reaction score
236
natumia kingamuzi cha startimes huu mwaka wa pili,tokea nikinunue nimelipia mara moja tu,cha ajabu toka jana wamenifungia local chanel kuwapigia simu leo wanadai mpaka niende kuilipia ndo nitapata local chanel,hii halali???
 
Hama!!! Achana nao hao,hata muonekano wake ni maruweruwe
 
Duh miaka miwili hujalipia zaidi ya mara moja...ndo mana wamekufungia...wameona unawanyonya kwa hizo local channel...solution nunua kingine kaa tena miaka 2...tehetehe
 
hujalipa miaka miwili unalalamika? ona hata aibu kila mmoja akifanya hivyo si watafunga kampuni?
 
natumia kingamuzi cha startimes huu mwaka wa pili,tokea nikinunue nimelipia mara moja tu,cha ajabu toka jana wamenifungia local chanel kuwapigia simu leo wanadai mpaka niende kuilipia ndo nitapata local chanel,hii halali???

Mbona ndo zao siku hizi.
 
Ulifanya vipi hata ukawa haulipii

Local channel ni free...hawakuwa wanazilock...sasa wameanza kuzilock...kwanza local channel zenyewe ni bure...usitumie kingamuzi chao ...weka vingamuzi vya mediacom..na dish unatafuta fundi anakusetia local channel zote free
 
hujalipa miaka miwili unalalamika? ona hata aibu kila mmoja akifanya hivyo si watafunga kampuni?

Kwi Kwi Kwi Kwi Kwi. .aone aibu eeeh? Ona aibu.saaa miaka miql kwa mara moja kwel? ? Sasa unalalamika nn??
 
Local channel ni free...hawakuwa wanazilock...sasa wameanza kuzilock...kwanza local channel zenyewe ni bure...usitumie kingamuzi chao ...weka vingamuzi vya mediacom..na dish unatafuta fundi anakusetia local channel zote free

Yaani hawa cku hizi wamekuwa wahuni sana, mi 17.6, nililipia kifurushi cha mambo tsh.10,000.jana nawasha naambiwa muda umekwisha kwani wao siku 30 wanahesabu vipi?? Nawapigia najibiwa eti natumia sana nikamuuliza kwani hiki kimekuwa ni Luku? Kwamba hela una chajiwa kulingana na matumizi? Ananiambiwa we utakuwa umetumwa c bure akakata simu tena alikuwa msichana...
 
Siku ingine rikodi mazungumzo yenu...na hakikisha unamuuliza jina wakati mnaanza mazungumzo ...then lazima wakulipe fidia ya mwaka mmoja bure...ukienda kwa boss wao...na yule alokujibu utumbo usitake tena kujuwa kimemkuta nini...wakikataa ilete youtube tuisambaze...
 
Local channel ni free...hawakuwa wanazilock...sasa wameanza kuzilock...kwanza local channel zenyewe ni bure...usitumie kingamuzi chao ...weka vingamuzi vya mediacom..na dish unatafuta fundi anakusetia local channel zote free

Uyo amefungiwa kila kitu mpaka kikasetiwe upya
 
Mweee, me ndo sijawahi kukilipia tokea nikinunue...kwanza hamna hata cha maana kwenye hivyo vifurushi....
Na siku wakijishaua kunifungia local channels nawarudishia king'amuzi chao nahamia Azam au digitek....mxiuuuuuuu!
 
Azam fasta local chanel unafungiwa after 3 weeks.
 
Hamna chanel za maana za kulipia bora hizo local sasa nazenyewe zimetiwa lock
 
Back
Top Bottom