Hii hali ilishakutokea?

Hii hali ilishakutokea?

April26

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
1,405
Reaction score
2,162
Asalaaaam wakuu. Naomba kuwashirikisha hili kama ilishakutokea au uliwahi kusikia n.k.

Sihitaji kuzama sana kitaaluma lakini hili jambo laweza kuwa geni au uliwahi kujua ama lah but ni issue ambayo ni ya kijitathimini tu tangu upevuke na kuanza kuwa na hisia za mapenzi.

Jambo hili wazee zamani walitumia kutazama nyota kutambua kuwa kipindi kimefika.

Ni hivi kwa mwaka mwanaume au mwanamke anapitia vipindi viwili vya kihisia.

Moja ni kipindi ambacho mwanamke au mwanaume anapata n..y...eg...e sana kiasi kwamba atakuwa na hamu ku do sex kupitiliza tofauti na kawaida.

Na kipindi hiki hutokea ndani ya mwezi mmoja hadi mitatu mfururizo kwa mwaka awe ana sex mara kwa mara au lah!!

Kipindi cha pili ni kile ambapo mwanamke au mwanaume kwa muda ule ule wa mwezi mmoja hadi mitatu kwa mwaka unakuta hana au hajisikii kabisa Ku do sex haijalishi ana mwenza au hana bali hisia zake hupotea na anakuwa anajiona kawaida.

Kwa mwanaume wakati huu hata hamu ya kutongoza na kutamani huyeyuka hata afanyiwe mitego na visa na mwanamke utakuta hana time.

Inasemekena hali kama hii hutokea kwa wanyama wafugwao na waporini pia, hivo hata kwa binadamu hutokea isipokuwa jinsi ya Ku notice inategemeana na muhusika ikiwa ana taarifa hizi au lah

Wengi wapatao hali ya kutokuwa na hamu ya sex pengine hugundua hali hiyo lakini husingizia mambo mengine kama visababishi kumbe pengine anakuwa kwenye kipindi hicho cha mpito ambacho bila shaka ni kimaumbile (biologically)

Cha ajabu ni kuwa ukifika msimu wa wanaume kukosa hamu au hisia za sex kupungua ndo kipindi ambacho wanawake huwa kipindi hisia ziko juu na kwa wanawake ni hivo hivo.

Hali hizi zote mbili hutofautiana kati ya mtu na mtu, je ulishawahi Ku notice hali kama hiyo??
FB_IMG_16145318610534148.jpg
 
hapana asee hiyo mambo haina season tafadhali nenda kamtazame daktari
 
Sijasema inanitokea mimi this is general assumption mkuu. Kwa wanyama ipo sana why tusiwe sisi binadamu ??
 
Wenzio wanauziwa vocha mjini muda wotee au wanaita bando ( karanga, nazi nk nk) sasa ww unaishi kama wanyama ?
 
Hahahahaa Mimi siishi kama wanyama mkuu Niko vizuri kabisa jambo hili wazee wa zamani wanalijuwa walitumia nyota kugundua hicho kipindi
 
Wanyama ndo wanao huo msimu wa joto na msimu wa baridi. Kama na wewe unayo hali hiyo utakua punda au ng'ombe 😂😂😂😂😂😂
tafuta vumbi la shinyanga au Congo mapema sana.
 
Hii kitu imeshawahi kunitokea pia baadhi yarafiki zangu imewatokea
Ila nitamuuliza mzee wangu.
 
Ndo kipindi nachoputia mimi sahivi sina hisia kabisa na sex
 
Wanyama kama simba,tembo,chui na kadhalika hufanya sex kwa ajili ya kuzaliana tu[reproduction] not for leisure purpose, LAKINI wanyama kundi la primates hufanya sex kwa ajili ya kufurahisha nafsi zao mf; nyani. Pia binadamu tunafanana na primates kwa kiwango kikubwa cha DNA hivyo sex tunafanya kwa leisure na tunafanya mara nyingi sana, ila hao wanyama wengine huingia kipindi cha hamu ya kufanya sex mara moja moja ambacho kitaalamu tunaita latent period, ambacho hiki kipindi wakifanya sex mimba inaingia
 
😂😂😂😂😂😂😂
Wanyama ndo wanao huo msimu wa joto na msimu wa baridi. Kama na wewe unayo hali hiyo utakua punda au ng'ombe 😂😂😂😂😂😂
tafuta vumbi la shinyanga au Congo mapema sana.
 
Asalaaaam wakuu. Naomba kuwashirikisha hili kama ilishakutokea au uliwahi kusikia n.k.

Sihitaji kuzama sana kitaaluma lakini hili jambo laweza kuwa geni au uliwahi kujua ama lah but ni issue ambayo ni ya kijitathimini tu tangu upevuke na kuanza kuwa na hisia za mapenzi.

Jambo hili wazee zamani walitumia kutazama nyota kutambua kuwa kipindi kimefika.

Ni hivi kwa mwaka mwanaume au mwanamke anapitia vipindi viwili vya kihisia.

Moja ni kipindi ambacho mwanamke au mwanaume anapata n..y...eg...e sana kiasi kwamba atakuwa na hamu ku do sex kupitiliza tofauti na kawaida.

Na kipindi hiki hutokea ndani ya mwezi mmoja hadi mitatu mfururizo kwa mwaka awe ana sex mara kwa mara au lah!!

Kipindi cha pili ni kile ambapo mwanamke au mwanaume kwa muda ule ule wa mwezi mmoja hadi mitatu kwa mwaka unakuta hana au hajisikii kabisa Ku do sex haijalishi ana mwenza au hana bali hisia zake hupotea na anakuwa anajiona kawaida.

Kwa mwanaume wakati huu hata hamu ya kutongoza na kutamani huyeyuka hata afanyiwe mitego na visa na mwanamke utakuta hana time.

Inasemekena hali kama hii hutokea kwa wanyama wafugwao na waporini pia, hivo hata kwa binadamu hutokea isipokuwa jinsi ya Ku notice inategemeana na muhusika ikiwa ana taarifa hizi au lah

Wengi wapatao hali ya kutokuwa na hamu ya sex pengine hugundua hali hiyo lakini husingizia mambo mengine kama visababishi kumbe pengine anakuwa kwenye kipindi hicho cha mpito ambacho bila shaka ni kimaumbile (biologically)

Cha ajabu ni kuwa ukifika msimu wa wanaume kukosa hamu au hisia za sex kupungua ndo kipindi ambacho wanawake huwa kipindi hisia ziko juu na kwa wanawake ni hivo hivo.

Hali hizi zote mbili hutofautiana kati ya mtu na mtu, je ulishawahi Ku notice hali kama hiyo??View attachment 1719322
hahahaha hii picha nimeelewa sasa, wa nyuma yuko tayari kwa kuliwa
 
Back
Top Bottom