Hii hali ilishakukuta?

Promethazine

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2017
Posts
262
Reaction score
260
Habari za jioni wanaJF.

Hii hali ya kijana kuajiriwa katika ofisi Fulani, ukiwa bado mpya kwenye ajira ukiwa na ari mpya, kasi mpya, na nguvu mpya inafahamika kwamba lazima utafanya kazi kwa bidii zote zaidi kulinganisha na seniors, kwa maana hicho ndicho kidogo ulichobarikiwa kupata.

Sasa je haijawahi kuwa tatizo kwa ma senior workers?
1.Kuonekana kama unajipendekeza, kufanya kazi sana.

2.Na je suala la mawasiliano na workers of opposite sex, haikuleta shida katika kazi yako?

3.Kuonekana kama vile unaringa ama kujisikia kutokana na namna unavyofanya kazi, kwa mrejesho mzuri unaopata.

Hebu tupeane maujuzi wakuu, hizo changamoto zilikuathiri vipi na ulizikwepa vipi? Kwa kupunguza ufanisi wa kazi yako? Ama kwa kukata mawasiliano na workers of different sex.


The struggle is real.
 
Nijuavyo Mimi, kujipendekeza name kufanya kazi Kwa bidii haviendani kabisa, kwasababu wanaojipendekeza utawajua tu name mtu anayefanya kazi Kwan bidii utamjua to.

Mfano: mtu anyejipendekeza hupenda kujiattach Kwan maboss muda wote na anahuruka ya umbea na uchonganishi kwasababu hufanya hivyo ili apendwe.

Mtu anayefanya kazi Kwa bidii Hana hizo tabia za kujikomba au kupeleka umbea Kwa superviser au boss ila hujituma back anafanya kazi na kila mtu.
 
We kama umepata kazi bac piga kaz ukizingatia wajibu wako, lkn ukianz kuangalia watu wanasemaje au wankuonaje sio mda mrefu utatok kwenye reli na kazi utabaki kuisikia kama expansion joint
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…