Hii Haiko Sawa Kabisa!!(love Dillema)

Mkuu nawe una roho mbaya yaani mpaka unamgegeda mpenzi wa rafiki kisa kamwacha!
Ina maana hapo kabla hukuwa na mahusiano yoyote yale?
 
hawezi kurudi kabisa na usijaribu kumwambia eti arudi kwa jamaa atakuuliza ina maana mi sina thamani kwako.mwambie jamaa akomae waongee wao kama wao.
 
"usiache mbachao kwa msaada uliopo" hivini mekosea au....basi niseme siku zote umuhimu na thamani wa kitu huonekana unapokipoteza
 
Unawezaje kukaa kwa aman na dem aliyevuliwa chu** na friend wako.
Shame on ex wa friend wako muheshimu yr vry weak na hauna msimamo.kama kupiga ungefanya sir.unaua usela kisa dem shame on yu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…