Ishu ya kiwanja nikuwa mimi ndio nilikinunua, ila yeye alinichangia kama 35% so ntamrudishia. kwa biashara tutaamua namna nzuri ya kugawana asset zilizopoa (50-50)Ok suppose jamaa akimrudia na hiyo bussiness na kiwanja jamaa utamrithisha pia?
Hebu kaa vizuri wewe. Kwani wewe humpendi? Utakuwa unampa maumivu huyo binti mara ya pili. Yeye hamtaki jamaa kwa hiyo hata ukimwacha atabaki alone hivyo hivyo. Huyo jamaa si alimkataa mwenyewe?
mkuu tunapendana sana, hofu yangu ni kuwa jamaa asijefanya mabayaHebu kaa vizuri wewe. Kwani wewe humpendi? Utakuwa unampa maumivu huyo binti mara ya pili. Yeye hamtaki jamaa kwa hiyo hata ukimwacha atabaki alone hivyo hivyo. Huyo jamaa si alimkataa mwenyewe?