Hii gari kibongo bongo ipo? Automatic

Hii gari kibongo bongo ipo? Automatic

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
16,654
Reaction score
18,805
11913245_958941330795387_1117462185102002347_n.jpg
 
11913245_958941330795387_1117462185102002347_n.jpg

Pair za tairi naona kama zipo 28....
hivi kwani hicho kilichobebwa kilishindikanika kuunganishwa
hapo kinapotakiwa kuwekwa...??
Naona kama mbinu ya zamani sana kusafirisha zigo lote
hilo kwa mkupuo wakati wanaweza kufanya assembling eneo la tukio.
 
MeinKemp, huo mtambo kuunganishia kiwandani ni bei rahisi, kuliko kuunganishia sehemu inayotakiwa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom