Foffana JF-Expert Member Joined Oct 29, 2022 Posts 3,202 Reaction score 5,554 May 22, 2025 #41 Ni vichekesho tu teh teh teh teh
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 71,791 Reaction score 128,814 May 22, 2025 #42 FisadiKuu said: Si mmesusia Uchaguzi?? Sasa kinachowasumbua na kuwauma ni kipi 😂😂 Click to expand... Hatushiriki uhuni.
FisadiKuu said: Si mmesusia Uchaguzi?? Sasa kinachowasumbua na kuwauma ni kipi 😂😂 Click to expand... Hatushiriki uhuni.
Mfikirishi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 11,387 Reaction score 13,714 May 22, 2025 #43 Dr wa Manesi said: Kalagabagho, ndo kilichobaki kwa chadema chakavu........majingu na wivu tu. Click to expand... Kipimo cha ujinga
Dr wa Manesi said: Kalagabagho, ndo kilichobaki kwa chadema chakavu........majingu na wivu tu. Click to expand... Kipimo cha ujinga
D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 6,196 Reaction score 4,781 May 22, 2025 #44 sammosses said: Kama mliamua ya CHADEMA hata ya Chaumma yatajadiliwa Kwa musatakabali wa Siasa zetu. Click to expand... Uliwahi kuona au kusikia lini watu wa CHAUMA au act wazalendo au cuf au NCCR wanaotumia muda wao kuizungumzia na kuikandia chadema zaidi ya kuvingumzia vyama vyao na mapambano yao dhidi ya ccm?!!!
sammosses said: Kama mliamua ya CHADEMA hata ya Chaumma yatajadiliwa Kwa musatakabali wa Siasa zetu. Click to expand... Uliwahi kuona au kusikia lini watu wa CHAUMA au act wazalendo au cuf au NCCR wanaotumia muda wao kuizungumzia na kuikandia chadema zaidi ya kuvingumzia vyama vyao na mapambano yao dhidi ya ccm?!!!
K kipenseli2021 JF-Expert Member Joined Jul 17, 2021 Posts 2,119 Reaction score 1,943 May 22, 2025 #45 Chauma ndio chama.kikubwa Cha upinzani
D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 6,196 Reaction score 4,781 May 22, 2025 #46 Mfikirishi said: Kipimo cha ujinga Click to expand... Hiko chenu ni Cha upumbavu.
D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 6,196 Reaction score 4,781 May 22, 2025 #47 kipenseli2021 said: Chauma ndio chama.kikubwa Cha upinzani Click to expand... Hilo liko wazi ingawa hawa wachawi waitwao chadema chakavu hawaelewi hata kinachoendelea.
kipenseli2021 said: Chauma ndio chama.kikubwa Cha upinzani Click to expand... Hilo liko wazi ingawa hawa wachawi waitwao chadema chakavu hawaelewi hata kinachoendelea.