CHADEMA sio ya kufa kwa mbinu za kishamba hizoNyie kwl ni waajabu, chama kinakufa bd mtu haelewi anashangaa. Ndio wameshaondoka hivyo
Mimi sio chadema sio kila anaependa reform ni chadema mimi ni CCM ila napenda reform kutoa ukiritimba mimi nchi kwanzaSi mmesusia Uchaguzi?? Sasa kinachowasumbua na kuwauma ni kipi 😂😂
Kama ni kichekesho mbona haicheki Sasa kamanda wa chadema chakavu?!!!! Ninachiona na kukisikia ni sura na sauti iliyojaa hofu🥱🥱🥱Hii game ya CHAUMA ni kichekesho mtaani. Leo nimemuona diwani wangu wa zamani naona kucheka tu.
Hawa wasidhani watanzania ni wajinga. Nipo na watu tunaangalia taarifa ya habari kwa kweli watu wanaishia kucheka tu hizi commedy.
Kukiwa na uchaguzi huru na haki baada ya kupokea hawa vibaraka mzee Rungwe angepata kura yake na mwanae tu.
#No reforms No election
Tatizo hakuna huo uchaguzi huru na haki hapo. Hivyo jiandaye kutungiwa sheri na hao hao vitukoKukiwa na uchaguzi huru na haki baada ya kupokea hawa vibaraka mzee Rungwe angepata kura yake na mwanae tu.
Usiwabeze mkuu ngoja waanze kuzunguka na chopa ndo utajua watanzania wanafiki na hawajielewiHii game ya CHAUMA ni kichekesho mtaani. Leo nimemuona diwani wangu wa zamani naona kucheka tu.
Hawa wasidhani watanzania ni wajinga. Nipo na watu tunaangalia taarifa ya habari kwa kweli watu wanaishia kucheka tu hizi commedy.
Kukiwa na uchaguzi huru na haki baada ya kupokea hawa vibaraka mzee Rungwe angepata kura yake na mwanae tu.
#No reforms No election
Kama mliamua ya CHADEMA hata ya Chaumma yatajadiliwa Kwa musatakabali wa Siasa zetu.Labda ungejikita kuzungumzia yenu ya chadema chakavu; hayo ya CHAUMA tuachie sisi wananchi tuamue kama tulivyoamua kuhusu nyie. Kwani shida yenu nini'?!!! Nyie si mmesema mpo na wananchi wote?
Wananchi au ccm,mmepanik gemu yenu imebuka na pesa mshapigwa.Labda ungejikita kuzungumzia yenu ya chadema chakavu; hayo ya CHAUMA tuachie sisi wananchi tuamue kama tulivyoamua kuhusu nyie. Kwani shida yenu nini'?!!! Nyie si mmesema mpo na wananchi wote?
Tanganyika ni nchi huru!TUNAITAKA TANGANYIKA YETU.
Tatizo ni madalali wa Siasa Mbowe anataka pesa za kujikimu na makala anataka pesa, huo Muungano wa Udalali haramu wa kishetani ndiyo umezaa hivyo vioja vy,a leo , pesa za walipa kodi kutumika kuwanunua G55 kwenda Chaumaccm ni matumizi mabaya ya pesa za ummaHii game ya CHAUMA ni kichekesho mtaani. Leo nimemuona diwani wangu wa zamani naona kucheka tu.
Hawa wasidhani watanzania ni wajinga. Nipo na watu tunaangalia taarifa ya habari kwa kweli watu wanaishia kucheka tu hizi commedy.
Kukiwa na uchaguzi huru na haki baada ya kupokea hawa vibaraka mzee Rungwe angepata kura yake na mwanae tu.
#No reforms No election
Kukariri kuwa chadema itakufa kwa kumweka mwenyekiti jela kisha kutumia mabilioni ya walipa kodi kuwanunua G55 kuwapeleka Chaumaccm chama cha uvunguni mwa ccmNyie kwl ni waajabu, chama kinakufa bd mtu haelewi anashangaa. Ndio wameshaondoka hivyo
Ni kweli baadhi ya watanzania ni wajinga. Wewe unawezaje kuwa mfuasi wa Braza K Mapovu?Hii game ya CHAUMA ni kichekesho mtaani. Leo nimemuona diwani wangu wa zamani naona kucheka tu.
Hawa wasidhani watanzania ni wajinga. Nipo na watu tunaangalia taarifa ya habari kwa kweli watu wanaishia kucheka tu hizi commedy.
Kukiwa na uchaguzi huru na haki baada ya kupokea hawa vibaraka mzee Rungwe angepata kura yake na mwanae tu.
#No reforms No election
Dili la makala na mbowe siyo Siri tena kila mmoja anajua ufisadi ufujaji pesa za walipa kodo uliotumika kuwanunua G55 kuwapeleka Chaumaccm tawi la kienjeji la ccmWananchi au ccm,mmepanik gemu yenu imebuka na pesa mshapigwa.
Kama una lugha ya matusi, hauna lugha ya fikraNyie kwl ni waajabu, chama kinakufa bd mtu haelewi anashangaa. Ndio wameshaondoka hivyo
Njaa ni mbaya sana, Kikundi cha wajinga ndani ya ccm makao makuu kikiongozwa na makala ambaye IQ yake ni ndogo sana kilikaa na kubuni mradi haramu wa kula pesa yaani cha juu, wakamchochea mama amkamate Lisu kwanza akiwa ndani wapate kisingizio cha kuomba pesa za kuudhofisha chadema, njama zao zimetimia baada ya kumshirikisha Mbowe na sasa wanakula mabilioni ya walipa kodi kwa kazi haramu za kishetaniHaya mabonanza na mazingaombwe ya pembeni mimi hayanipi shida sana.
Nasubiri tu kusikia ya huko ndani ya CCM yenyewe; kukubali kutumiwa na genge lisilokuwa na akili namna hii kuvuruga kila sifa iliyo kwisha patikana kuhusu chama hiki.
Nasubiri kwa hamu sana.
Washibe pesa za wizi? Wale pesa haramu za walipa kodi?Chairman kashasema watoto wale washibe. (WWW) ama ukipenda ita 'Tripo Wi' 😂😂