Labda ungejikita kuzungumzia yenu ya chadema chakavu; hayo ya CHAUMA tuachie sisi wananchi tuamue kama tulivyoamua kuhusu nyie. Kwani shida yenu nini'?!!! Nyie si mmesema mpo na wananchi wote?Hii game ya CHAUMA ni kichekesho mtaani. Leo nimemuona diwani wangu wa zamani naona kucheka tu.
Hawa wasidhani watanzania ni wajinga. Nipo na watu tunaangalia taarifa ya habari kwa kweli watu wanaishia kucheka tu hizi commedy.
Kukiwa na uchaguzi huru na haki baada ya kupokea hawa vibaraka mzee Rungwe angepata kura yake na mwanae tu.
#No reforms No election
Kalagabagho, ndo kilichobaki kwa chadema chakavu........majingu na wivu tu.Yani mpaka mtu unaishia kukaa kimya tu vitu vya kufanywa na watoto wa darasa la 7 kwenye rehearsal ya maafali wanafanya watu wazima kabisa na wenye elimu zao.
No Reforms No ElectionHii game ya CHAUMA ni kichekesho mtaani. Leo nimemuona diwani wangu wa zamani naona kucheka tu.
Hawa wasidhani watanzania ni wajinga. Nipo na watu tunaangalia taarifa ya habari kwa kweli watu wanaishia kucheka tu hizi commedy.
Kukiwa na uchaguzi huru na haki baada ya kupokea hawa vibaraka mzee Rungwe angepata kura yake na mwanae tu.
#No reforms No election
Nadhani tuachane na CHAUMMA sisi tuendelee kupambana na CCMHii game ya CHAUMA ni kichekesho mtaani. Leo nimemuona diwani wangu wa zamani naona kucheka tu.
Hawa wasidhani watanzania ni wajinga. Nipo na watu tunaangalia taarifa ya habari kwa kweli watu wanaishia kucheka tu hizi commedy.
Kukiwa na uchaguzi huru na haki baada ya kupokea hawa vibaraka mzee Rungwe angepata kura yake na mwanae tu.
#No reforms No election
Kama ambavyo Chadema mnapambana na hao Chaumma au sio??Ukishaona chama kinapambana na mpinzani mwenzake ujue hiyo ni CCM B
Sasa Bawacha shida iko wapi hapo? Nyie si mmesusa wenzenu wanakula, kalagabhao!!Ahaaa kuna Dada nimemsimi cloudsfm warimrusha live kupitia kipindi cha jahazi akasema anamshukuru Devotha kwa kuwajali na kuwawwzesha .
Yaani sisiemu wanafanya utoto
Si mmesusia Uchaguzi?? Sasa kinachowasumbua na kuwauma ni kipi 😂😂Social networking zimesandia sana watu kupata habari kuchuja pumba na Mchele na shule za kata na wahitimu wengi wa vyuo wako mtaani
Mmecheka kwa kuwa nyie ni wehuHii game ya CHAUMA ni kichekesho mtaani. Leo nimemuona diwani wangu wa zamani naona kucheka tu.
Hawa wasidhani watanzania ni wajinga. Nipo na watu tunaangalia taarifa ya habari kwa kweli watu wanaishia kucheka tu hizi commedy.
Kukiwa na uchaguzi huru na haki baada ya kupokea hawa vibaraka mzee Rungwe angepata kura yake na mwanae tu.
#No reforms No election
Nyie kwl ni waajabu, chama kinakufa bd mtu haelewi anashangaa. Ndio wameshaondoka hivyoYani mpaka mtu unaishia kukaa kimya tu vitu vya kufanywa na watoto wa darasa la 7 kwenye rehearsal ya maafali wanafanya watu wazima kabisa na wenye elimu zao.