Hii game nimeipenda sana nani atakuwa na cheats zake

Screenshot_2018-10-18-20-11-53.jpeg
 
Xmode games inakataa inanambia can permanently destroy my phone or cost me money. Nmelazimisha imekataa

Visit link hii uone jinsi ya kutumia lucky patcher bila ROOT
Na pia Kama ume ROOT tumia application kama
  • Game killer
  • Lucky patcher
  • G2G(game guardain)
  • Freedom
  • Gamecih
If iyo game ni online tumia
  • Game killer
  • Game guardian (recommended)
But online hack tumia unapo pata ile hela sio wakati zinakuwa stored bcz zinakuwa acquired offline (kwenye simu) nakutumwa kwenye servers......

NOTE: if online be careful bcz utakuwa banned but siyo game company zote but kama ni game ya sniper android usihofu unless ni ya Gameloft (sniper fury) au Hitman 47 so Kama no hizo tafuta MOD.....Byeo_O
 
ni moja ya game nzuri za snipers ambayo nimeipenda. inaitwa contract killer sniper nachezea kwenye simu. tatizo inataka hatua nyingine ninunue silaha kali ambazo mimi sina pesa maana kuna silaha hadi tsh 100,000 ukiacha kununua diamond/golds ambazobei ya chini kabisa ni tsh 11,000.

nani anafaham cheats zake please anisaidie kwa android phone.
Silaha za mini nchi yetu salama kabisa
 
Back
Top Bottom