wanatengeneza fursa mpya naweka barabarani coaster kali yenye kiyoyozi inakuchukua home hadi ofisini ukimaliza kazi unatupigia tunakuja kukuchukua hadi home, mbona school bus zinawabeba watoto mlangoni? mfano ppf tower unaweka coaster ya kusambaza wafanyakazi nauli elfu tano mbona unapiga hela ya maana