Hii form ya traffic inamhusu nani

hadi wabunge, wakurugenzi na mapolisi waandamizi wana leseni za mezani. nusu ya madereva hawana cheti
Usiandikie mate mimi mwenyewe sina cheti na nimeendesha gari tangu 1996 sijasababisha ajali. Leo mipumbafu inaanza kukuhoji cheti?.
Kwautaratibu huu tunarudi nyuma na sio kwenda mbele.
 
Wakifuatilia sana, watakuwa wamepunguza foleni, tena iwe lazima udereva usomewe boarding
 
Awamu hii kila mtu anaguswa na kusomeshwa namba.Nani angejua kwamba lingekuja zoezi la huhakiki wa leseni.Sijui huhakiki unaofuata utakuwa juu ya nini?
 
Duu kazi ipo sisi wengine leseni ilitangulia ndio cheti kikafuata
 
Brother nasimamia UE ujue, acha kunichekesha hadi wanafunzi wakose concentration.
 
taasisi ya elimu lazima isajiliwe na nacte au tcu sasa hizi driving school uhalali wake ukoje? mbona nikiangalia katika list ya nacte sioni hata kimoja? uhalali ukoje kunilazimisha kusoma katika taasisi isiyokuwa na sifa?
 
hivi hao waalimu wa driving school wamesomea wapi? duce wana diploma in driving education? Prof Ndalichako atueleze hao walimu wa driving school anawafundishia wapi? je wanazo teaching license? utaniambiaje nikafundishwe na mtu asiyekuwa na sifa ya kufundisha?
 
Inawezekana kuwa watu wanapaswa kusoma veta au NIT
 
Ili dereva apewe leseni kwanza anakua na cheti then police wakijiridhisha wanataka leseni sasa leo tena baada ya miaka mingi polisi wanaibuka na kudai tena cheti!! How comes
 
Jaribu ulale rumande kesho mahakamani kwa makosa ambayo hata wewe utashangaa
 
Njoeni mtaani maana madereva wengine hawana akili kutokana atakuta mvua inanyesha kunavidimbwi akimuona mwenda kwa miguu anapitisha gari lake nia yake mwenda kwa miguu alowe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…