kayeke
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,600
- 1,748
Kawaida tuNa umejiuliza hivi hawa man city itkuaje kama wakichukua treble kama ya man u?
Kawaida tuNa umejiuliza hivi hawa man city itkuaje kama wakichukua treble kama ya man u?
HA HA HA WAZEE HAWANA MBIO LAKINI WANAHESHIMIKA,MKULU NI MKULU TU.Ni kama yule Baunsa aliyebakwa kwa tabu mno!!
Anae kula x-mas yupo top.. Mara nyingi ndo bingwa wa EPLNaiona Man city wanaongoza ligi historia inazungumza yakwamba atanyanyua kwapa