Hii foleni Posta jijini Dar ni hatari...

Duh imeachia....
 
Nipo hapa Aga khan kuelekea Palm Beach dakika 40 tumesogea mita 10!
Huko Mwenge si tutafika kesho! Mlioko maeneo ya moroko,makumbusho kuna nini huko?
Naona unatest German machine 360kph
 
Leo hakuna mwendo kasi, maji yamejaa hapo jangwani. Ni barabara zote zina foleni.
 
Leo hakuna mwendo kasi, maji yamejaa hapo jangwani. Ni barabara zote zina foleni.
Nimeliona hilo maana nimeshuka hapa kituoni, kila barabara ina foleni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…