Wakuu hii flash yangu ina 8gb nimejaribu kuiformat kwa njia za cmd na njia ya kawaida haitaki kabisa ikifika mwisho inaandika format did not complete any help pls.
Angalia usiwe umeingizwa mjini, kuna flash za sony huwa zinasambazwa zimechakachuliwa. Zimeandikwa kuwa zina capacity 8 gb, lakini ukweli ni 280 kb, ila zina kuwa zinadanganya system yako kuwa ni za 8 gb. Ukiformat inagoma, kama ndiyo aina hiyo jitayarishe kulia maumivu. Fuatilia lik hapa chini uoengee na wengine walioulizwa hapo zamani. Enjoy your day!!!!!!!