Bora ufe ww 2. Fastjet imetoa Ajira kwa watanzania wengi. Ww umetoa Ajira kwa watanzania wangap...?Nimechelewa dak 1 tu check in wamenizuia kabisa pamoja na kubembeleza kote kule halafu naenda kusogeza tiketi mbele wanadai 255 Ikabidi nikakate air Tanzania tiketi mpya kwa 230
Bora ufe ww 2. Fastjet imetoa Ajira kwa watanzania wengi. Ww umetoa Ajira kwa watanzania wangap...?
Sawa mkuuNimeajir watanzia zaid ya 50 kijana kuwa na adabu
UzembeNimechelewa dak 1 tu check in wamenizuia kabisa pamoja na kubembeleza kote kule halafu naenda kusogeza tiketi mbele wanadai 255 Ikabidi nikakate air Tanzania tiketi mpya kwa 230
angalau umeleta chakula ya akili. humu kuna kahawa, tangazo la biashara, majivuno kwa wenye 'expensive house, nice car' na mikogo tu kututofautisha wapanda ndege na boda boda zetu.😂😂😂Wanatuchekaga sis wa mikoani tunavo wai stendi saa kumi asubui ili Rungwe exp isituache..nazan kwa upande wa ndege kabla ya masaa5 ndege kuondoka ningekuw nmeshafika airport na familia nzima tuagane vzr..Kuchelewachelewa only happen kwa Dar hombres japo wanajdai wanenda na mdaa....Bhakufyundile na ukubhilwe .Go fastjet gooo!!
Hhhhhh!!! pamoja mkuu..angalau umeleta chakula ya akili. humu kuna kahawa, tangazo la biashara, majivuno kwa wenye 'expensive house, nice car' na mikogo tu kututofautisha wapanda ndege na boda boda zetu.
asante mdau ulietukumbusha historia na tawasifu ya mleta mada.
Dah, kimotco nilipanda sana dom arusha wakati nasoma advance.Ulifikiri ni KIMOTCO au DAR LUX?
Kosa ni lako halafu unalalamika?
Siku ukichelewa check in ya ATC ndio utajua habari yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]